Search results

  1. Kusena

    Kwanini Waziri Mkuu hana naibu?

    Naomba kuuliza hiki kitu kinanitatiza. Kwanini Waziri Mkuu hana naibu?
  2. Kusena

    Naitwa kusena...

    Naitwa KUSENA, ni mjukuu wenu, mwananu na mdogo wenu naipenda jamiiforums, ipo vizuri na najifunza mengi nikiwa humu Naombeni ushirikiano wenu
  3. Kusena

    Msaada wenu; Je, nyota sahihi Ni Ile ya tarehe ya kuzaliwa au ya jina

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Kwa majina naitwa Joshua kusena ninao umri wa miaka 21. Samahanini maana mm sio mzuri kwa uandishi, ila tu naombeni Msaada wenu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Kwa wale wanaoamini ya kwamba Kila mtu Ana nyota yake. Tangu...
Back
Top Bottom