Search results

  1. M

    Ufisadi BoT: CCM matatani

    Historia ni mhimu kujua umetoka wapi, uko wapi na wapi unaelekea. CHAMA cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake vi mtegoni, na itabidi kuamua kusuka ama kunyoa kwa kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba fedha zilizochukuliwa kutoka Benki Kuu (BoT) chini ya Mpango wa Ununuzi Madeni (EPA)...
  2. M

    2015 ni wakati wa vijana kwa wazee kuibadilisha tanzania.

    Ndugu wanaJF, kwa kuwa Serikali ya CCM imeonyesha wazi na kwa vitendo kuwa haitaweza tena kuwapa watanzania nchi na maisha wanayotamani kuwa nayo, mwaka 2015 ni wakati wa vijana kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu kujiwekea nia na malengo ya kugombea uongozi kwa tiketi ya CHADEMA.Kwa kila kijana...
  3. M

    Hongera Zitto kwa kuwa msomaji wa vitabu; only that will shape you!!!.

    Wadau, nimpongeze zitto kwa kusoma vitabu kama list hapo chini ilivo. Kwa sasa viongozi wengi serikalini hata ktk vyama vya siasa ni waropokaji wala hawasomi vitabu ili kuongeza maarifa. Nape, mwigulu na wengineo igeni mtaumbuka!!!!!!! Take it from Zitto Books I have read in 2012 – Zitto...
  4. M

    Nape na siasa zisizo na tija kwa Taifa...

    Udini ulikemewa sana na Mwl. Nyerere, CCM wakautumia kama mtaji wa kwenda Ikulu 2010, mwaka huu wamevuna walichopanda 2010. Nimemsikiliza mara nyingi Nape, sijaona kama analenga kudumisha uhai wa taifa letu na CCM pia. Siasa za Nape ni kupandikiza Chuki, Udini, Ukanda na ubaguzi mwingineo...
  5. M

    BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Pata kisa cha wahuni hawa na toa maoni yako kama kweli wewe ni Mtanzania na unaijua na kuipenda nchi yako. Kumbuka kuwa mwisho wa uongo ndo mwanzo wa ukweli na hivi havitaingiliana kamwe!. ................>>>>>Ndugu Nadhani mnakumbuka tarehe 28 /10/2012 tulikuwa na uchaguzi mdogo wa...
  6. M

    Kila mpenda CCM, uongo na uzushi iwe nguzo zetu na zinatupeleka ikulu 2015.

    Hii siyo sera kwa sasa, ila mi naona inalipa na kama chama kitaoona inafaa basi mimi naunga mkono 100%. Bila uongo kutumika 2015 hatutoki. Tena mawaziri wetu popote wanapoenda kama watakuwa na japo jambo moja lenye kuiumiza CDM hata kama la uongo, hiyo inatutoa!
  7. M

    Kila mpenda CCM, uongo na uzushi iwe nguzo zetu na zinatupeleka ikulu 2015.

    Kwa wana JF wanaCCM tu!!!. Baada ya kuona namna uongo na ujasiri wa Mh. katibu wa itikadi na uenezi (Nape) anavyotunga stori isiyo na manufaa kwa watz lakini kwa CCM ni mtaji mkubwa, nimeamua niwahimize wenzangu. Tukitaka, 2015 CHADEMA wasiende Ikulu, Wakati CHADEMA wanahangaika na...
  8. M

    Wazee wa bagamoyo wafunguka!!!!!. -->-->--> chadema v

    Wakati WATANZANIA wanazidi kufunguka na kujitafakari, sasa wazee wa Bagamoyo wameona nuru ya CHADEMA na kuikaribia huku kukiwa na kundi kubwa la vijana hasa madriver boda boda ambao sasa wanasema mikwanja ya CCM tunalamba!!!!!!!, Kura mtosoooo wa kufa mtu!!!!!!!!. Mkutano wa CHADEMA ambao...
  9. M

    CHADEMA haitakufa kwa uroho wa kugombea uongozi...

    CDM kuna Mkt. Mbowe na makamu wake, Katbu Dr.Slaa na makamu wake. Umejikita kumjadili Dr. Slaa. Kwa great thinker yeyote anakuona we kilaza. Taarifa yako peleka michuzi.
  10. M

    Heshima ya nchi yetu imeharibiwa na kundi dogo lisiloguswa na yeyote hapa Tanzania. Nini kifanyike?

    tatitizo siyo katiba bali ni dhamira za watawala wetu. Unafikir ktk katiba kuna kipengele cha kuficha mabilion nje ya nchi?. Au ktk katiba kuna kipengele cha kuuza maliasili yetu Mfano Twiga!!!!!!?. Tusipobadilika na kuwapiga chini watauza mpaka kuku wetu majumbani mwet hawa jamaa si wema...
  11. M

    Heshima ya nchi yetu imeharibiwa na kundi dogo lisiloguswa na yeyote hapa Tanzania. Nini kifanyike?

    Baada ya kufikiria na kupima mwelekeo wa nchi yetu tulikotoka, tulipo, na tunakokwenda; tusipotafakari vyema nchi hii itakuwa na historia nzuri sana na mbaya sana. Nikakumbuka "heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake". Tulianza vizuri ktk nchi yetu, tulikula na kulima pamoja, tukasoma pamoja...
  12. M

    Bungeni Live: June 19, 2012

    Job Ndugai ni dhaifu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Kama.....................
  13. M

    Flag Bearer wa urais CHADEMA 2015 ni Dr. Slaa!

    Sasa nimeamini kuwa kuna watu wanatafuta mahali pembamba ktk kamba ya kuwania kiti cha urais CDM ili wakate hapo mahala. Yote hii ni ili kuleta mfulughano ndani ya CDM wakidhani kwa post ya rais watawakoroga CDM. Thanks God; Zitto, Slaa, Mbowe nk wako very makini kujua nini na wapi CCM wanataka...
  14. M

    CDM yaanza kukokomboa wakazi wa Bagamoyo huku uwepo wa CCM ukitatanisha.

    Ukweli ni kwamba CCM imekosa mvuto mpaka basi. Nape akija lazima alambe vidole viwili kuanzia jimbo la Mdee mpaka kwa Kawambwa. Akichelewa kuja kubadilisha hii dhoruba ya CDM anaweza kuvulia gamba lake Bagamoyo badala ya DSM.
  15. M

    CDM yaanza kukokomboa wakazi wa Bagamoyo huku uwepo wa CCM ukitatanisha.

    CDM wameanza kuangamiza ngome ya CCM Bagamoyo. Leo wamefanya mkutano ktk viwanja vya Majengo S/M. Mkutano umefanyika wakati mvua kubwa ikinyesha na watu wakinyeshewa na mvua ya kufa mtu huku wengine wakishindwa kufika uwanjani hapo kutokana na mvua hiyo kubwa. Hali ya hewa iliendelea kuwa...
  16. M

    CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

    Wewe wasemaje, Je, CDM wanakubalika au hawakubaliki?. Kama ukisema hawakubaliki, nakushauri leo nenda kamuone daktali haraka sana. Unaonyesha kuwa na tatizo la ubongo ambalo limesababisha unaona wala huoni, unasikia wala husikii, unaambiwa wala huelewi. ukichelewa kwenda hospitali unaweza kwenda...
  17. M

    Mkutano wa Jangwani Mei 26: Polisi walumbana na CHADEMA!

    Nimeona ni busara kuwaomba polisi wetu akiwamo na Coplo baba yangu. Amani ya nchi hii inataka kuharibiwa na mwenye nyumba mwenyewe, Nawaomba msikubali kutumiwa kwa namna yoyote kwa hila za wanasiasa. Amani ikitoweka wewe kama polisi, mjeda, mfanyakazi wa serikali utakuwa na taabu sawa na mtz...
  18. M

    Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

    CCM kimeanza kuweka mazingira ya kuwa chama kikuuu cha upinzani bungeni kuanzia uchanguzi mkuu 2015. Katika harakati hizo, mbinu mbali mbali za kujiandaa kuwa boss wa pande ya upinzani zimeeendelea kuwa wazi ikiwa ni pamoja na kujiandaa kimtindo kuja kupinga matokeo ya urais 2015 mara tu baada...
  19. M

    Shibuda sasa amvaa Dk Slaa, adai kuwatumia BAVICHA

    Asante sana kaka,make nasikia kasha kubali. Pambafu yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1. Pepoooooooooooooz poweeeeeeeeeeeeer!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  20. M

    Shibuda sasa amvaa Dk Slaa, adai kuwatumia BAVICHA

    Baada ya shibuda kuona hajafanikiwa kumnasa Dr.Slaa ndipo alipoamua kumtaja live ili angalau aseme neno lolote ili apate nguvu ya kuikologa CDM. Cha kufurahisha ni pale Dr. Slaa kama nabii vile, kampuuza kabla shibuda hajamwomba Slaa aseme neno. Hii ni nzuri sana na hapo ndipo naamini...
Back
Top Bottom