Wakulima walipeleka korosho zao kwenye vyama vyao vya msingi, mzigo wote uliokusanywa katika chama cha msingi ulichanganywa na kusafirishwa kwenda kwenye maghala ya chama kikuu. Sasa sijui wanajuaje kuwa korosho hii "iliyo chini ya ubora" ni ya mkulima flani. SMH 🤔
Poleni sana wakulima.
Wakati mwingine tuongee kwa facts. Hela ya Richmond maana yake ni nini? Issue ya Richmond ni ya kimkataba, kwamba uliiumiza Tanesco. Leo mtu anakwambia hela ya Richmond.
Utterly nonsense!!
Mind games....Akitegemea EL atajibu ili majibizano yaendelee na hivyo atumie muda wake kujibu hizo shutuma badala ya kushughulika na kampeni na mikakati ya ushindi, na pia ili asahau kufuatilia "mbinu chafu za adui".
Mweleze Muumba wako; yeye pekee ndiye anayeweza kukutoa kwenye huo ufidhuli, kukurudishia amani na kukupa njia nyingine ya kupata riziki...siyo wana-JF.
Sijui ni kwa nini hatusajili defensive midfielder ambaye ni kifaru. Can alivyoingia ilisaidia sana maana aliruhusu Milner na Henderson kupanda, mashambulizi yakawa mengi zaidi. BR hataki kukubali kuwa formation ya lone striker haifai.. Tuliona msimu uliopita Balotelli alichemsha, leo pia kwa...
Kuna siku almanusura niipasue pasue TV yangu kwasababu ya vepa alizokuwa anaongea huyo bwana. Now days nikisikia jina lake tu nawahi ku change channel. REDET na Bana ni majina yanayotapisha hata phenergan haisaidii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.