Search results

  1. F

    Nipeni mbinu za kumuacha huyu mrembo

    Kwanini umdanganye,wewe mwite na mwambie sababu za kweli ambazo umezishindwa,uongo hauna faida
  2. F

    Yanga Walia na "Mvua ya Magumashi" mechi yao v/s USM Alger

    Hizi sababu zinazotolewa na mashabiki hazitubabaishi sisi wanayanga tunaoujua mpira
  3. F

    Aziz Ki ni mzigo, anavumiliwa kwasababu ni mgeni

    Ukumbuke tunacheza haya mashindano kwa goli la huyo alipwae 25m
  4. F

    Aziz Ki ni mzigo, anavumiliwa kwasababu ni mgeni

    Ni rahisi kutoa lawama lakini tuwaachie makocha kufanya kazi zao
  5. F

    Aziz Ki ni mzigo, anavumiliwa kwasababu ni mgeni

    Kwa elimu ipi ya ukocha na ujuzi upi ulionao unasema maneno haya?
  6. F

    Geof Leah ni Bora ungeomba msamaha kwa viongozi wa Yanga na mashabiki kwa ujumla kutokana na kauli zako zisizo na mashiko

    Huyu jamaa ni pumba tupu kichwani ila katafuta umaarufutu tu ukweli anaujua
  7. F

    Tusidanganyane kwa sasa Wachezaji wote wa Yanga SC wana Thamani maradufu dhidi ya Simba SC

    Ni kweli,genta hebu andika kuhusu huyu feitoto ni nini hasa kinamsumbua.?
  8. F

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Mwigulu atatumbuliwa

    Mwigulu hana kosa lolote kwa suala la kariakoo
  9. F

    Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

    Hao wote huwa tayari washakaguliwa na idara ya usalama wa rais
  10. F

    Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

    Anajua kiingereza? Hajui kiingereza kabisa anachojua kiswangish,hayo mambo ya nani kufungwa tusubiri mpira ukiisha
  11. F

    USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    Tuliza akili,fanya kazi kwa bidii,jitahidi kushiriki ibada kwa dini yako na jitahidi kutoka out wikiendi na mkabidhi Mola wako jambo hili atalitatua
Back
Top Bottom