Search results

  1. D

    Lawyers to JK: Launch claims on unfit judges

    TLS should take this issue to be critical and it is the matter which should be reasonably and exhaustively investigated. We need justice to the judicial arm. Mbona vyeo vya kupeana kiUSHEMEJI na USHKAJI vimejaa tele, DCs, RCs Nominated MPs, MPs for special seats and the list continues.....
  2. D

    NAPE ivi inakuaje uzungumzie posho na madokta wakti chama chako ndo serikali?

    Danadana hii kuhusu posho ya wabunge inatukumbusha kwamba tunahitaji viongozi wanaoweza kuchukua maamuzi magumu na kuyasimamia, Yuko wapi Edward Ngoyai Lowasa?
  3. D

    Ikulu: Rais hajaidhinisha posho za wabunge!

    ​Suala la posho mpya kwa wabunge: JK Makinda wajikaanga: Jana jioni nilisoma taarif ya Salva Rweyemamu ikikanusha kuwa hakuna baraka za Rais katika posho za wabunge, Makinda anasema rais ametia mkono, hivi ndivyo vwalivopanga kutuchezea akili. Soma habari hii toka Tanzania daima...
  4. D

    John Pombe Magufuli unatuchefua

    kamwe tusidanganywe na hawa viongozi wanaotafuta umaarufu katika majukwaa ya kisiasa kama akina Magufuli. Hii tabia ya kujidai kupiga simu mbele ya waandishi wa habari majukwaani na kujidai kuwa mkali kwa watu amabao wako chini ya mamlaka yake ni kujitafutia the so called cheap popularity. Hebu...
  5. D

    Sumaye aimwagia upupu serikali

    Wanafunzi wa vyuo vikuu ni watu wazima ambao more than 90% wana umri zaidi ya miaka 18. Wana haki kama raia wengine kushiriki katika masuala ya kisiasa tena tunawategemea wao kuwa chachu ya mabadiliko katika jamii. Ukiniambia kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu wakae kimya na kufumbia macho kile...
  6. D

    Towards East African Federation. Are we gonna reach there?

    �� EAC FEDERATION: KENYA'S WARIGI VS TANZANIA'S M Follow this interesting dialogue. Tanzania is proving to be a liability in EA integration By GITAU WARIGI Posted Saturday, November 29 2008 at 15:12 It is time members of the East African Community called Tanzanias bluff. Our southern...
  7. D

    Hii haina tofauti na anaetumia "mkorogo" au "karolaiti"!!

    Kwa kweli kuweka madawa kwene nywele ni kutokujikubali, hata watu waitete hoja hii kwa gharama kama ile iliotumika kwene uchaguzi mdogo wa Igunga ila ukwelei utabaki pale pale ni kujiona dhaifu, ni kujiona kwamba tumepungukiwa ikilinganishwa na wenzetu wazungu au jamii nyingine ya watu weupe...
  8. D

    Amnesty urges Tanzania and other African nations to arrest George W. Bush

    Amnesty International on Thursday called on Ethiopia, Tanzania and Zambia to arrest former U.S. President George W. Bush for human rights abuse when he visits the region this month. (REUTERS) Tafakari.
  9. D

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    This cannot be true.
  10. D

    Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

    Wale wazee wanaokusanywa kuongea na Rais huwa ni wauza maandazi wa kule Temeke na Mbagala, ndio maana huwa wanashangilia hata wanashangilia kila neno bila kujali kama ni point au ni pumba.
Back
Top Bottom