Search results

  1. pretta360

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Mtukome na hatuachi
  2. pretta360

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    Mbona naonaga wanigeria wana ugali fulani hivi mweusi
  3. pretta360

    Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

    Ungeenda kwa Dean ,yy angekupa maelekezo na list ya wanachuo wahitaji
  4. pretta360

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    Upendo wa Bwana na amani yake,vyashinda yote,mpe Mungu maisha yako ,kamwe hizo hali hazitakujia
  5. pretta360

    Hivi nyie wanaume mnawezaje kulea na kusomesha watoto wa wanaume wenzenu kwenye shule za private

    Maskin mna kelele sana na gubu,hujui unaweza msomesha huyo mtoto,riziki zaki zikawa zinafunguka tu,na akakusaidia uzeen ,kuliko wanao wa damu .
  6. pretta360

    Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

    Weka chumvi mawe kwny kona ya chumba ujazo wa kiganja,I wish ningekuombea hata kwa simu,kwa damu ya Yesu ,nguvu za giza zinasambaratika
  7. pretta360

    Ulifanyaje kipindi huna hela? Yaani maisha yamekupiga total knock out!

    Nenda kwa watu wanaofanya biashara ya catering ,uombe kaz ya ku serve ,utapata na msosi bure,kwa wale wanaopikia nyumban ndo wazuri,
  8. pretta360

    Adam Mchomvu hakui?

    Kwan zama nae hasikiki,au jasir alivoondoka nae akafukuzwa?
  9. pretta360

    Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

    Si ndo hapo ,hawajui Musoma ni ya wakwaya
  10. pretta360

    Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

    Umenikumbusha kitambo kidogo enz nimeishi Musoma na kusoma pia form five nusu muhula,kulikua na kund moja la kibabe walikua wakijiita "JAMAICA MOKAZ" walikua wababe balaa,tulikua tunawaogopa mno,nashukuru Mungu nilihama mapema,ila Musoma ni pazuri,especially bei za electronics na nguo ni nzur...
Back
Top Bottom