Kama ni hizi written za online eneo utaandikiwa kwenye akaunti ya ajira portal utaandikiwa venue kulingana na address Yako ..na Huwa hawachelewi kama umeshaitwa bhs subiria siku tatu ama nne ukitembelea kwenye akaunti yako utaona tu venue .. Asante
Huyu mm sijuagi nn ana kitakaga ..sidhani km ni msakatonge ..pengine ni mtu upo kutuchora tu apa .. maana huu ujinga unafanya Kila siku sijui nn unachokitaga
Habari za Saizi jamani ?
Naombeni kuuliza ndugu zangu mm hapa nimeitwa usahili wa mchujo utafanyika hapo kesho kutwa Sasa Sina kitambulisho Cha NIDA kwa sasaiv na ninacho Cha kura lkn hakifanani mwaka wa Kuzaliwa na cheti Cha Kuzaliwa naona kama nikionyesha pale nje kabla ya kuingia kwenye...
Nashukuru sana kwa ujumbe huu na mm ndo nilikua najiuliza Sasa apa ..hii aptitude test imekaaje maana Ile ya takukuru ilikua very technical mzee 😂😂 yani ukienda kichwakichwa unakandwa ..Bora watoe kwenye kada husika na pia kulingana na Majukumu ya kazi itakua poa Sana ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.