Search results

  1. M

    Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Mambo ya 2011 yanaingiaje hapa?halafu usimfananishe mbowe (dj) na Rais umekosea
  2. M

    Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Hata ungefanyika sokoni kuna ubaya gani???????????????? Tena mlipaswa kushukuru imefanyika kwenye madhabahu takatifu
  3. M

    Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Wengi wao wamereact kwa sababu ya udini walionao yani hawa watu wako sensitive na dini yao utadhani dini ndio tiketi ya kufika mbinguni wakati wataiacha hapa hapa duniani
  4. M

    Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Unaweza kuwa sahihi au sio sahihi,lengo lilikuwa sio baya tatizo liko kwa wafanyiwa 😊wako very sensitive na dini yao wenyewe 😀😀😀 utadhani itawapa ufalme wa mbingu kumbe ni mambo ya duniani tu
  5. M

    Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    We mtoa post umekosea sana na udini unakusumbua, nataka tu kukukumbusha kwamba Rais ni kiongozi wa nchi na nchi haina dini
  6. M

    Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Maombi... Mungu ndio kila kitu tulipona kwa sababu tuliamua kuanza na Mungu kabla ya kuanza kuhangaika na ventilator barakoa etc etc...Mungu akasikia maombi yetu
  7. M

    Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Yani mambo ya ajabu sana sijui wanafundishana chuki za nini wanasahau kwamba hatuwezi kuwa wao
Back
Top Bottom