Kwenda zako Fala nini wewe ingekuwa Muungano wa kweli Kenya na Uganda wengeingia .Watanganyika wanafaidika zaidi na hili JINI Muungano Wazanzibari hawataki Muunganooooo.Bora Uvunjike tu lkn nyinyi wabara ndio kinganganizi.
Broo CCM nI Mafiya c mchezoo kukutoa mhanga ni dakika sufuri tu kama huna timu kali hotoboi CCM ni kama GININGI ukifanya mchezo unatolewa kikoa kazi kwenu.
Ajabu Wakristo munabebana sana hongereni kisa hichi hichi engekileta Muislamu na hadithi hii hii badala ya kanisa weka msikiti tu basi JF mzima ingekuchana kinyama lkn nakupengezeni Wakristo huu uzi hauna mbele wala mwisho nimeuacha njiani naona kama ni adv or CV ya muandishi anajaribu kuomba...
Duce naomba mkatae huyu mkaka ikiwa mk wake hauwezi si itakuwa wakati wa shughuli anajamba ovyo ,aibu kaka mwanamme hajambi ovyo inaonyeshea ww ni bonge na unapenda kula ovyo muscle zako haziko strong.
Ajabu sana Watanzania wana Fikra mgando hukuti Watanzania kuklalamikia umeme hukuti watanzania kulalamikia maji wakati ni haki yetu ya msingi watu tunashindwa hata kudai haki zetu hii ni aibu kwa serikali tupo karne ya 21 toka baada ya uhuru hatuna umeme ma maji safi nini malengo yetu .Nasikia...
Sawa Huo UMEME wanao Unajua kuna vitu vyengine havitaki kuiga vinataka uthubutu TZ tatizo letu ni Umeme na Maji ndio tataizo SUGU .Hii Treni ilitakiwa iwe ya kisasa zaidi with very high speed n wangalifanya step by step Wengeanza Dar to Moro tu kwanza halafu wakaanza na mkoa mwengine sio...
Watwambie balaa la UMEME na MAJI Litamalizika lini na mwaka gani haya ndio mambo ya msingi .Hii nchi kuna Mawaziri na wabunge Bumbumbu sana kichwani hamna kitu .Naomba sana niwe Raisi .Waziri nakupa miezi 6 tu kama hudilivery out of the job.
Raisi Samia Suluhu kama kweli uko serous na UWEKEZAJI ondosha hili tatizo la UMEME shame of your Gov .Hata haya hamuna toka UHURU mpaka leo mmeshidwa kuondosha tatizo SUGU la UMEME.Huwezi kuwa na maendelea kama huna ENERGY ya Uhakika .Maji ya Uhakika .Barabara za Uhakika yaani this is toooooooo...
Wacha Ushamba huo Nyame hata Italy yapo hayo madoli labda yanakupa ashiki flani ndio maana hujui kama biashara ni itembezwayo Baba upo 21 century wake up.
Wajerumani sio wapumbavu Watoe milioni 70 Euro kwa msaada lazima kuna kitu behind it .Haya wacha tuone mwisho wake .Na hizo ndizo zinazopigwa kinyamaaaaa.
Tatizo la Zanzibar sio uslamu bali ni UZANZIBARI (IDINTITY)wewe kama una chuki ya uislamu na waislamu weka mbali .Kabla 1964 Zanzibar ilikuwa inaitegemea Bara Tanganyika .Tarehe 10 December 1963 Znz ndio imepata uhuru wake tarehe 12 January 1964 Nyerere mchonga meno ameleta watu wake kuja...
Huyo Hussein mwinyi nasikia ndio alongangania kuzikwa Unguja kujinasibisha na Uzanzibari waliokuwa hawana nafikiri ni utashi wa kisiasa zaidi waonekane Wazanzibari wakati sio kweli wao ni watanganyika tu .
Wamekulipa kiasi gani kuleta adv ya Naseeb hapa JF.Pale nitakapo ona msanii anajenga Hospitali kwa ajili ya kuwatibu wanyonge au kujenga Shule kwa ajili ya wanyonge kupatiwa elimu mzuri hapo nitampa maua na vilua na asmini more then that ni ujinga tu .
Jeshi la Polisi halina weledi halina vision wao ndio wenye haki wao ndio wenye nguvu wao wana chuki na wananchi hata sielewi kwa nini sijui sheria ya kukupiga sijui waameipta wapi na wabunge walivyokuwa wapumbavu hata kuuliza bungeni sheria ya kumpiga raia kwa jeshi la polisi wameipata wapi pale...
Kasema kweli kwani uongoo Nakupa mfano wa UMEME na MAJI na BARABARA toka baada ya kupata UHURU mwaka wa 60 Sasa nini kimefanyikaaa.Mukiambiwa ukweli muna kasirika mukiachwa munasema muna ogepewa huo ndio ukweli tulia dozi ikuingee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.