Search results

  1. M

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Suwezi kupata dawa ya kuharisha ya hospitali ikatoa pamoja na huo uchawi
  2. M

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Dawa ya kutoa uchawi niliokula kwenye chakula
  3. M

    Nilivyopewa masharti na Majini

    Semu ya nne naisubiri
  4. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Mwongozo wa gharama zake vipi?
  5. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Ndio natumia doz bado sijamaliza, kinachonipa hofu pia ni kupungua mwili ndani ya muda mfupi.
  6. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Sio imani za kishirikina dada, kwani mtu hawezi kukuwekea sumu kwenye chakula? Kama hakupendi
  7. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Nimepima wakanikuta na amoeba
  8. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Binadamu lazima uwe na hofu pale unapohisi mazingira sio salama kwa uhai wako
  9. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Nini njia ya kujitibu au kukwepa
  10. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Nimeenda maabara nimejieleza naambiwa nipime minyoo, Sasa najiuliza minyoo na nilichoendea mbona tofauti?
  11. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Comment zako zinaonyesha wewe ni mtu mwenye husda
  12. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Acha dharau kaka, wewe unadhani umekamilika eti?
  13. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Habari zenu wanajamvi, naandika haya nikiwa nahofu kutokana na hali ninayohisi; nahisi mwili kupungua mwilini, nahisi baridi tofauti na awali bila mabadiliko ya hali ya hewa. Nilishawahi kuleta Uzi humu jukwaani kuhusu maswaiba ya kazini na mauzauza kisa cheo, Sasa nahisi nimelishwa kitu...
  14. M

    Wafanyakazi wenzangu wananifanyia figisu nifukuzwe kazi

    Nashukuru, ndio Mana nimekuja kuomba ushauri huku
Back
Top Bottom