lakini kwanini huyo Mangungo nae asaini bila kujua kusoma? Inaonyesha kwamba pia alikuwana tama, huwezi kufanya kitu usichojua madhara yake. Ndio maana Nyerere alikataa kuanza kuchimba madini kabla hatujawa na ujuzi na uwezo huo.
Failing mentality kwa Arsenal fans ni kawaida. In fact inaanzia juu kabisa kwa Mr. Bean a.k.a Specialist in Failure mwenyewe anaposema kumaliza nafasi ya nne ni ubingwa.
KM, fantastic reply!
Steven Gerrad slip, putting Demba Ba on. Ba, Ba, Ba, Baaaaaaa, gooooooal. Loserfools dream of first titlte in 24 years are over. Was Steven Gerrad in banana skin boots?!
Ni vizuri tumekuona tena ukiwa hai. You went into hiding after we spanked your fat ar$e six times. Au unanitafuta nikupige bao nyingine za nguvu? Ina maana sita hazikuchoshi bado? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Ni kweli kwamba tuna mechi rahisi kwenye karatasi ukilinganisha ni timu nyingine zinazowania ubingwa, lakini ukiangalia rekodi yetu msimu huu kwa hizo timu ndogo sio nzuri sana. Mechi zote tulizofungwa msimu huu tumefungwa na timu za kati au chini ukiondoa Everton. Nafikiri tunahitaji kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.