Search results

  1. N

    Tatizo la ugonjwa wa pneumonia

    Kama kichwa cha habari kinavyooneka,kuna ndugu yangu ana tatizo la pneumonia limemsumbua muda mrefu na hajapata relief au kupona japo ametumia dawa kadhaa km amoxilin,amoxiclave(spelling huenda si sahihi)kwa yeyote mwenyewe kuujua huu ugonjwa na matibabu yake anisaidie.
  2. N

    Watu wa Pwani ni walio katika mikoa iliyopakana na bahari?

    Hili la pwani kwetu lilizua balaa baada ya mmakonde kudai ''sisi watu wa pwani tunapenda wali'' hoja ikaanza watu wa pwani ni wapi? Je watu wa Chalinze, Lushoto, Masasi nk wana sifa ya pwani kwa vile tu wako mikoa iliyopakana na bahari? Ubishi mkubwa uliibuka bila kuwa na compromise kiasi kwamba...
  3. N

    MABASI YA UDART YAITWE YA NJIA MAALUM

    Hivi haya mabasi ya UDART ni sahihi kuitwa ya mwendokasi wakati limitation ya speed ni 55km/h hii ni kero maana uongo wa waziwazi bora yaitwe mabasi ya njia maalum,au kisiasa HAINOGI?
Back
Top Bottom