Search results

  1. Jifunafu

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Wakuu salaam, Natumaini mapambano yanaendelea. Ninaomba kuelimishwa mambo yafuatayo katika kilimo cha maharage msimu huu. 1.Jinsi ya kupanda kwenye matuta au Sesa 2.Busta nzuri inayofanya vizuri kwenye maharage,hapa naomba mwenye kujua zaidi kuhusu hizi busta ambazo zinafanya vizuri maana hapa...
  2. Jifunafu

    Wanawake....let's be kind to men!!

    Watanzania tuache ushamba, kama umeamua kuongea kiswahili ongea kiswahili sasa unachanganya taka taka kwenye chombo kimoja ndio Nini sasa? Aya tumejua umesoma. Ushamba ni mzigo.
  3. Jifunafu

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anaye uza eneo/ shamba

    SUBIRI WAKUU WAJE KUKUPA MUONGOZI Kazi kweli kweli/ Job true true
  4. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee waha na warundi ni watata yani ni wabishi balaa.Ukitaka moto wewe anza kuzungumzia kuhusu mambo ya uraia uone moto wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
  5. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Wakala ni mmoja tu yule mwamba ndo miamala yote utapata pale Tigo,voda,halotel na airtel money. Kwa upande wa mazao hapo namba 4 labda ufanye kituo cha ukusanyaji maana mashamba yako pembezoni,kwaiyo wakulima wanatoa huko wanaleta pale au wewe uwe unafatilia kule shambani.
  6. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Mkuu unanikumbusha nilikuwa nikenda kwa wakala pale kutoa pesa yule wakala maalufu na mfanya biashara maalufu pale kijijini yani yule jamaa dukani kwake kila kitu unakitaka dukani kwake utakipata.Basi ukienda kutoa pesa utachukua namba ya wakala unaenda kutegeshea kwenye kichugu flani then...
  7. Jifunafu

  8. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Ukiwa uko chief tutafutane.Ebu njoo pm nipate mawasiliano yako.
  9. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Unajua Papa Gx haya maisha kujitoa muanga tu,na furusa za kutoboa ambazo hazina ujanja ujanja zimebaki kwenye kilimo ndugu zangu yani mjini kumeshabana na kutoboa sio kama unavyofikiria wewe zaidi ya kusifia matajiri na kuwanyenyekea wenyewe wanaita Chawa.Yani ukubali kudhalilishwa na mtu alafu...
  10. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Hahahahaha uzi wangu sio mrefu bwana,sema threds za kilimo wewe hauko interested tu.Mimi hakuna threds za kilimo itapita mbele yangu nikaiyacha lazima nifatilie,na hili jukwaa ukiona mtu anachangia tambua anapenda kilimo au issues za kilimo hapa wale wazee wa Kula tunda kimasihara hauta waona huku.
  11. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Kama ni mkulima ambae bado unajitafuta na kutegema mvua,nakushauri njoo Katavi hadi Rukwa huko yani mvua sio za kubabaisha wala kuwa na mashaka.Ukiona mikoa mingine mvua zimekuwa za shida mwaka huo basi kwa mkulima wa katavi kwake ni neema kubwa kwani uwezo wa kuivisha mazao upo.Yani katavi bado...
  12. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Hahahaha mkuu umenitonesha wakati Niko kule porini nimepiga sana ela za wasukuma yani unakuta amechezea simu na amefunga mtandao hapati mawasiliano anakuja kwangu utaskia vp bwana Ngosha na Mimi niambie bwana Ngosha maana walinizoea sana na walikuwa rafiki zangu sana. Utaskia simu yangu...
  13. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Uko lubalizi sikuwai kufika ila kujamaa wa pale mwese alinipokea, uyo jamaa mashamba yake yapo uko lubalizi wakati wa msimu wa kilimo akienda kupiga Kambi uko kufanya kilimo Yani hapatikani tena hadi yeye akutafute.Na mtandao anasema Hadi apande mlimani. Mwese inavituko, wachaga wa mwese na...
  14. Jifunafu

    Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

    Mkuu usihangaike, Mimi ndugu yangu wa karibu mke wake aliteseka sana na kitu kama iyo na matokeo yake alikuja kupona Kwa hii kitu. Kuna mdau hapo ameongelea kuhusu kitungu swahumu, hii ni tiba nzuri sana Kwa watu wenye tatizo Hilo. Njoo pm nitakuelekeza Kwa mama mmoja anazo
  15. Jifunafu

    Nahitaji mkulima au muuzaji nafaka mwenye stock ya kutosha ya zao la dengu

    Ungetoa maelezo ya kutosha,uko wapi na unaitaji tani kiasi gani na bei unanunuaje kwa kg na mawasiliano yako. Ngoja waje wenye stock.
  16. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Vitunguu sijaona labda vijiji vingine huko,lakini ukiamua unalima tu,labda soko pakuuzia.
  17. Jifunafu

    Nafasi za Kazi Gardaworld Security Tanzania

    Njoo pm nipo tayari kukupa accomodation na kuwa.mdhami lakini gharama hizo utalipia,kama uko tayari njoo pm.Niko kamanga ferry nawaona vijana wanapeleka barua.
Back
Top Bottom