Search results

  1. W

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    1. Je kamishina wa kodi alishawapa certificate ya kutolipa kodi? 2. Kuna kodi zinazotokana na mishahara, je ilikuwa inapelekwa ipasavyo na complience za SDL na PAYE returns 3. Wafadhili wanapotoa pesa na St. Jude hainufaiki na chochote tofauti na elimu inayotoa 4. Hakuna wanafunzi wengine...
  2. W

    Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

    Hilo tangazo limetolewa tokea mwezi wa 7, kwahiyo halijaanzia ulivyoona hiyo clip ne
  3. W

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Sasa itoe misaada moja kwa moja wamesahau kuwa hizo taasisi zinasajiliwa Tanzania na kwa sheria za Tanzania na siyo EU?
  4. W

    Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Bunge ni dhaifu kweli maana souce ya mapato ya mishahara na posho inamtegemea Magufuli akusanye kodi
  5. W

    Rais Museveni: Nimezungumza na Marais wenzangu kuhusu Corona na madereva wa masafa marefu

    😆😆 kwamba however ndiyo nini tena, ongeza volume
  6. W

    Mbao ndio timu ya kitoto/hovyo kuwahi kutokea

    Tatizo lako wewe ni mshangiliaji, umejua mpira baada ya kuanza kubeti.
  7. W

    NEC yatoa ufafanuzi juu ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Singida Kaskazini, aliyetangaza kujitoa kwenye Uchaguzi

    Pepo toka katika jina la YESU. kwani umeambiwa huyo Kailima alimfuata mgombea nyumbani kwake?
  8. W

    Mkutano Mkuu wa CCM umemalizika kinyonge sana, hakuna 'kigogo' yeyote aliyehamia kama tulivyoaminishwa

    Naona Mlishajiandaa kutoa figure zilizotumika kuwanunua.Sijui mlipata Bilioni ngapi zimetumika
  9. W

    Peter Msigwa: Spika Ndugai ona aibu, gharama za ndege ya kumleta Lissu Nairobi imelipwa na CHADEMA

    "Spika Ndugai muogope Mungu,usilete utani katika maisha ya Mh Lissu, umeliongopea bunge na umma , gharama zote za ndege zimelipwa na CHADEMA na Watanzania. The parliament deserve better than you!"- Mh . Msigwa Nairobi. Yote yanawezekana Huyo mbunge wa CCM kutoa pesa na kuandikwa mbowe kwenye...
  10. W

    Kwanini mbinu zilizotumika kuwanasa waliomshambulia Meja Mritaba zisitumike kuwanasa waliomshambulia Lissu?

    Mwisho, kwa kuwa polisi wamekiri "kutrack" mawasiliano ya huyo banker na kujua alikua anawasiliana na hao majambazi, ni kwanini "wasitrack" pia mawasiliano ya Bashite maana imedaiwa kwamba alikua anawasiliana na watu waliomshambulia Lissu? Hawaoni kuwa hii itasaidia upelelezi na kuwajua wahalifu...
  11. W

    Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    Hili swala la escrow limefanya kila mtu anayejisikia kusema lake basi analileta humu ndani na sisi nao tunakurupuka tu tunaanza kushabikia.... haya tetesi. Kikwete kulivunja bunge baada ya sakata la escrow kuonyesha dalili za kuiangusha serikali. no source no what, mambo yakufikirika tu.
  12. W

    huyu ndie mwenye karata ya kuiangusha CCM 2015 kwa kila namna

    Sifa kuu ya membership ya JF imebaki ni kujua kusoma na kuandika basi.
  13. W

    Maafa Makubwa Tabora! Mheshimiwa PINDA Katiza Likizo Usisubiri Kamati ya Bunge

    Dah,akili zinginge zimo kwenye vichwa vyakufugia nywele. Angechaguliwa mwingine mafuriko yasingekuwepo?
  14. W

    Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    Hapo kwenye blue. kwani wewe chadema ni ya familia yenu uendelee kuwepo,ondoka wewe kama unakereka naye.kwanini ujipe taabu wakati ukiondoka chama hakitakufa
  15. W

    Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

    Hii ni mechanizim ya kujihami tu.
  16. W

    Harambee za Lowassa zinakera

    Ubwetee,kwani mara ngapi kaadhibiwa na wewe upo?
  17. W

    Sofia Simba amewahi kupata uongozi kutokana na kura za wananchi?

    Yani wewe kwa akili yako wananchi ni waliyokwenye daftari la tume ya uchaguzi?
  18. W

    Baada ya CCM kuzidiwa Kete na CHADEMA Arusha,sasa waja na Mbinu mbadala.soma hapa!!

    Kwani tatizo ni nini?kufanya michezo na shuguli zingine kwa kufuata taratibu ndiyo kazi?Mi nilijua wamebadili kazi ya viwanja kama NMC.
Back
Top Bottom