Search results

  1. Jasusi Mbobezi

    Uwezo Duni TBS Unaligharimu Taifa

    Achana na hayo, kuna CHANJO eti tume ya wataalamu wa bongo wamesema ni salama, sijui wameitest kwenye maabara gani, mimi huwa nawaangalia halafu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  2. Jasusi Mbobezi

    Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

    Kwakuwa maendeleo hayana chama nawasihi makamanda tujitolee pesa na nyingine tuchukue ofisini kwa mnyika kujenga shule nzuri, tusiandamane tu
  3. Jasusi Mbobezi

    Ni kosa kumtongoza Mkuu wa Wilaya?

    Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha...
  4. Jasusi Mbobezi

    Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    Ameshaona huu uzi, namshauri awaonyeshe wazungu pia
  5. Jasusi Mbobezi

    Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Ila huyu mdada ni mzuri jamani, sijui napataje namba.
  6. Jasusi Mbobezi

    Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    Hahahaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Jasusi Mbobezi

    Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    Miaka hii 5 tutashuhudia mengi sana, huyu mama sijui anawaza nini.
  8. Jasusi Mbobezi

    #COVID19 Chanjo milioni moja hazijaisha tu?

    Kwahiyo nawewe unataka kupapaswa tako uchomwe?
  9. Jasusi Mbobezi

    Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    Uko sawa kabisa kiongozi
  10. Jasusi Mbobezi

    Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    Wewe ni mme wa bibi Samia?
  11. Jasusi Mbobezi

    Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Jasusi Mbobezi

    Dkt. Kigwangalla: Najivunia kuongeza idadi ya Watalii, kuongeza mapato na kuanzisha Jeshi Usu

    Kuhusu kuchonga sanamu la baba yake na kusema kuwa ni Nyerere amesemaje
  13. Jasusi Mbobezi

    Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    Mada imenikuna hii, mwanamke ni mwanamke tu, 2025 tusimamishe mwanaume, na tusirudie kosa kuweka makamo mwanamke, hivi kweli mwanaume anampigia saluti mwanamke? Tunakuwa kama hatujafunzwa adabu? Hii ni bahati mbaya ilitokea ila baada ya kumaliza miaka ya urithi arudi kwao akalee wajukuu.
  14. Jasusi Mbobezi

    Mitandao ya Twitter na YouTube haipatikani Tanzania bila VPN | Septemba 07, 2021

    Mheshimiwa Samia tambua kuwa wanao tumia YouTube sio askofu Gwajima na Polepole pekee, uamuzi wenu una athiri vijana wengi sana wanaojitafutia kupitia mitandao hii. Mwisho nawaombeni muwashe VPN kuendelea kupata YouTube ila mnaelekea kufeli mapema sana. Mlifanya vyema kufungia mitandao ya ngono...
  15. Jasusi Mbobezi

    #COVID19 Spika Ndugai, nani alikushauri kufanya haya unayofanya?

    Peleka mipasho visiwani, huku tunataka kazi
Back
Top Bottom