Search results

  1. Mayunga Hungwi

    Michezo tarehe 1 Juni 2020

    Hamjasahau tu msimamo? Haya karibuni Tena Wana simbaaaaaa,
  2. Mayunga Hungwi

    Sports Arena, Sports Headquarters na Sports Extra

    Mwamba ngoma huvutia kwake
  3. Mayunga Hungwi

    Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

    Wasanii wanapenda kiki Sana ndio tatizo Mana haoni jamani kioo Cha jamii yake, kazi ni kuposti uchonganishi na sio kuelimisha watu, ukiwa hujui kutumia mitandao uliza watu watakusaidia sio kujichukulia uamuzi, we should be careful to our post
  4. Mayunga Hungwi

    Nimefika Sumbawanga, nakutaadharisha wewe dada ulieniibia CRDB Chanika

    Hahahaahaahaa, lakini inawezekana Kama akiamua,
  5. Mayunga Hungwi

    Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    Ni kweli mana bila ya Mungu tusingeweza chochote, Mungu kasikia kilio chetu, kwa imani ya kila mtu tushukuru kwa aliyotufanyia Mungu
  6. Mayunga Hungwi

    Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    Kujua takwimu sio ndio kuishinda Corona bali ni kifuata taratibu na maelekezo ya serikali ili kuepukana na Corona. Hivi takwimu hujui kama zinaleta hofu pia Mana watu watazidi kuogopa na kushindwa kuendesha shughuli za maendeleo ya familia na taifa,Mungu ibariki Tanzania
  7. Mayunga Hungwi

    Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    hapo ndio balaa lakini ukiwana maarifa na msikivu lazima utajilinda na COVID-19, Najua inawezekana Sana msiwe na hofu, mwanafunzi wa chuo atatumia ukubwa na maarifa yake kujilinda, MUNGU IBARIKI Tanzania, Ameeen
  8. Mayunga Hungwi

    Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

    Awe na adabu Mana haitumii mitandao vizuri kwa kuelimisha jamii,
  9. Mayunga Hungwi

    Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

    Mmh, usipoziba ufa .. utajenga ukuta, kwa kweli sikio la kufa halisikii dawa, na asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.
  10. Mayunga Hungwi

    Katibu mkuu wa TFF ahojiwa TAKUKURU

    Soka linahitaji umakini Sana la sivyo itaonekana Kama ni kutwanga maji , ata Kama ni nani aingie uongozini pale TFF kinachotakiwa ni kuweka Sera ambazo zitaifanya shughuli za michezo kuwa juu, ujuzi ndio Cha maana
  11. Mayunga Hungwi

    Katibu mkuu wa TFF ahojiwa TAKUKURU

    Jamani sio ivo , inahitaji uadilifu na. Uwazi tu na sio janja janja tu, kila kitu kizuri kina gharama zake, ukiona Spain inacheza soka Safi jiulize waliwekeza miaka mingapi kuwa Bora na sio kufanya maandalizi ya Zima moto, lakini kwasoka la vijana TFF wamejitahidi Sana kwa kiasi kikubwa#mpira ni...
  12. Mayunga Hungwi

    Katibu mkuu wa TFF ahojiwa TAKUKURU

    Mmmh, Sina Cha kuongeza maana ....tunahitaji tu kila kitu kiwe wazi na sio kingine
  13. Mayunga Hungwi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    I love Barcelona, messi juuuuuu
  14. Mayunga Hungwi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    I love Barcelona, messi juuuuuu
  15. Mayunga Hungwi

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba sc ni chama lao, baba lao, ubingwa ni ni wetu, I love simba sc #nguvumoja
  16. Mayunga Hungwi

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Siku zote fikiri alafu ndio upate muda wa kuandika, ivi tujiulize sisi Kama raia wa Tanzania tumeifanyia mangapi mazuri serikali zaidi ya kulaumu tu?, Unataka serikali ikufanyie jambo zuri lakini umeshawaza wewe au mimi ume/nimeifanyia mangapi serikali ili niweze kuilaumu!, What's ideas do we...
  17. Mayunga Hungwi

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Safiii Bora tugungue Mana kujifungia sio suluhisho ,@mh.Dr.John P Magufuli juu, Mwenyezi Mungu akulinde siku zote, more blessings 2 you
Back
Top Bottom