No 8 kwahiyo wanaokwenda makanisani ni mataahira ? Hata wasiokuwa na akili timamu wanaenda na wanapokea uponyaji Mungu anawahitaji waliopondeka mioyo elewa hilo
Tinted inapunguza mionzi ya jua iwapo unatumia ac . Pili ni kwa sababu ya security ya properties zako ulizoziacha ndani ya gari ili mtu asizione kirahisi mf laptop , simu na hat file lako
Baada ya serikali kutoa tangazo la kusitisha bei mpya ya vifurushi hasa vya data bado makampuni yamekaza shingo yameongeza bei na hayajarudisha kama ilivyokuwa awali huku suala hili likitafutiwa suluhisho . Je, jeuri hii inatoka wapi?
Kitu kingine cha ajabu mnyama huyu akiona amezidiwa na adui hutoa ile sehemu ya haja kubwa inafutuka kuja nje na kurusha kinyesi chenye hafufu mbaya sana kiadi kwamba hata simba akiisikia hamsogelei tena.
Na wakati akizaa alikuwa anatoa vitoto kimojakimoja kinakuwa ktk kifuko kidogo kisha watoto huinua kichwa kwa nguvu na kutoboa kifuko ndipo hutoka nje na kujilaza ubavuni mwa mama yao ili kupata joto la mama yao aina hii ya nyoka akiona unahatarisha usalama wake huinua mkia wake juu na kutoa...
Nilikuwa nasafiri kuelekea tarime kabla ya kufika maswa niliona kibao kinachotahadharisha kimeandikwa jiwe la hatari mbele . nikapunguza mwendo nikidhani jiwe lipo barabarani lkn sikuliona nilipita maeneo hayo saa 5 usiku wkt wa kurudi hatukukiona hicho kibao nikafika dar nikasafiri tena njia...
Wapo chatu wakubwa wenye uwezo wa kummeza ngombe na jamii ya paka wakubwa simba nk akimmneza swala dume mwenye pembe ndefu anaanzia nyuma matakoni mpaka katika shingo la swala hapo anabana mdomo atakaa hivyo kwa siku 2 mpaka shingo ioze ikikatika anaweza kutafuta mlo mwingine kutegemea na ukubwa...
Poleni Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na kiongozi wetu Mahiri Mh joseph magufuli . Ni kiongozi aliyepigania wanyonge .ameiweka nchi ktk msingi mzuri ktk kila sekta.
Tumeshuhudia utekelezaji wa miradi mikubwa kwa maendeleo ya taifa letu. Narejea ktk heading yangu Taifa linahitaji mtu wa...
Pia majani hayo yanatibu mdudu wa kwenye vidole unayafinyanga yanalainika unafunga na kitambaa au kitu chochote ili majimaji yake yaingie kwenye kidole chenye mdudu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.