Search results

  1. NAMNANI

    Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

    hiyo ni picha ya rihhanna akionyesha ishara unayodhani ni ya chadema peke yake, hebu jaribu ku-google ujue historia ya hiyo ishara kabla ya kuja na kubwatuka tu, hata kama umetumwa na hao wala rushwa wa CC-M! This is the home of great thinkers. uwezo wako ni mdogo ulifumbwa na itikati mbovu za...
  2. NAMNANI

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    keep zitto for future use in case of presidential race, mzee slaa yupo ktk kiwango (peak) na ni wakati wake. nawasilisha.
  3. NAMNANI

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Yangu mengi yamesemwa lakini hili moja bado, wafanyabiashara kutozuiliwa kuuza bidhaa zao kwa fedha za kigeni kitendo ambacho kinachangia sana kuporomoka thamani ya shilingi yetu kila kukicha. Nawakilisha
  4. NAMNANI

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Mzee Mtei umeona mbali kwa jicho la tatu, kesheni mkiomba Taifa lisije kuingia majaribuni. Mkuu anajaribu kunawa mikono kwa dini yake kabla hajaachia madaraka! be watchful
  5. NAMNANI

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    ccm hovyoooo..! Taifa lina majanga kibao kutokana na kuyumba kiuchumi, sielewi serikali hii inawaza nini kuruhusu maamuzi ya namna hii ambayo yataigharimu tume ya uchaguzi (serikali) mapesa kibao! I hate ccm vr much....
  6. NAMNANI

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    muhuni mwenyewe, namshauri aandae mazingira mazuri mapema ya nchi ya kukimbilia baada ya chama cha wazalendo kushika hatamu za uongozi! yeye na wahujumu uchumi wote tutawachapa hadharani kabla ya kuwafunga/kuwanyonga! that day is coming and is very close!
  7. NAMNANI

    Ushauri; Kazi inaelekea kunishinda

    Pole sana ndugu. Sikubaliani na mjumbe anayesema unapimwa. Unapimwa kufanya nini? Kutembea usiku, kazi bila mapumziko, malipo kiduchu ili kukupa msongo wa mawazo? Hiyo ni kampuni ya aina yake. Mimi nakushauri uendelee kutafuta kazi. Hapo watakuharibu ukiwa bado mchanga katika duru za ajira...
  8. NAMNANI

    Kazi na MAGODORO ya MABOSI

    ....anaweza kua hana interest kabisa ya kimapenzi isipokua anajua fika kua mapenzi na kazi ni sumu yakiruhusiwa sehemu ya kazi! nionavo mimi ...
  9. NAMNANI

    Tofauti .........

    mmmmmhh... mimi mgeni, ngoja nile kwanza wakati naendelea kuyasoma mazingira!
Back
Top Bottom