Search results

  1. M

    Wale ambao Mama zetu wametangulia mbele ya haki

    Mama,sitaisahau 2013,pale kwenye kitanda Cha Muhimbili,asubuhi ile nilipokushuhudia ukimaliza mwendo wako hapa duniani,Kansa ya ubongo ikikuchukua tukingali tunakuhitaji. Sisi huku tuna janga la Corona ambalo hatujui mwisho itakuwaje.Endelea kupumzika kwa Amani Mamaangu.
  2. M

    Die empty

    Pamoja mkuu
  3. M

    Die empty

    Munga Tehenani,daima nitamkumbuka,gazeti lake la Jitambue lilinifunza mengi Sana. Na hasa kutenda mema daima kunalipa.
Back
Top Bottom