Search results

  1. Dickson Edwin Mgaya

    Ridhiwani Kikwete amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi

    Vikao vingine vipunguzwe, kubana matumizi ya serikali. Fedha zielekezwe kwenye sekta za msingi kama mafuta ili kupunguza gharama za maisha. Vitu vingine vinahitaji maamuzi magumu kama ya Jiwe, mfano, fedha za kukimbiza mwenge nchi nzima zipo ila fedha za kustabilize bei ya nishati hakuna. Fedha...
  2. Dickson Edwin Mgaya

    Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Ajira zenyewe zinaishia kwa watoto wa vigogo! Watoto wa maskini wanaishia kumaliza Soli za viatu kuhudhuria interview 😒😒
  3. Dickson Edwin Mgaya

    Siku tukipata Katiba Mpya CCM itatawala kwa tabu na huenda ikang'olewa kabisa

    Inabidi kwanza tuwajengee viongozi wetu mila na desturi ya kufuata na kuiheshimu katiba. Fikiria tu hata katiba iliyopo japo sio nzuri sana lakini haieshimiki kabisa. Angepatikana mmoja wa Demo Kama Suwboofer akapelekwa kula soya segerea, assuredly akili zingewarudia.
  4. Dickson Edwin Mgaya

    Nani anastahili kujengewa sanamu ya kumbukumbu kati ya Mzee Nyerere na Magufuli?

    Simply Hii project ni wasteful expenditure. Haiwezekani baadhi ya shule up to date wanafunzi wanakaa chini then serikali inapata wazo la kutumia mamilioni kutengeneza sanamu ambayo ni useless. Matumizi yafanyike kwa kuzingatia priority ya ustawi wa wananchi kwanza and not any otherwise!
  5. Dickson Edwin Mgaya

    Dar: Rais Samia Suluhu ahudhuria mechi ya Simba na Yanga

    Amevaa ile jezi ya mwendazake, Nusu Simba nusu yanga🤔🤔
  6. Dickson Edwin Mgaya

    Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

    Tafuta Nissan x-trail ipo vizuri, na kwa bajeti yako hiyo Used unapata vizuri tu, tena iliyopo kwenye hali nzuri kabisa.
  7. Dickson Edwin Mgaya

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Imeandikwa "Usimjaribu Bwana Mungu wako". Kwa context ya serikali, Usimjaribu Mama. Rais
  8. Dickson Edwin Mgaya

    NIlivyopiga kura huko nyuma, nitakavyopiga 2025

    Lazima Tusimame na Mama kwani kwa muda mfupi sana ameweza kutufurahisha! Hatukuwahi kuamini Bongo, kama ofisi ya DPP inaweza kusimamia haki. Ila utawala wa Mama umethibitisha kuwa yote yanawezekana
  9. Dickson Edwin Mgaya

    TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Watu wenye attribute za wakina Sabaya! Hawana nafasi awamu hii
  10. Dickson Edwin Mgaya

    Dkt. Faustine Ndugulile: Watanzania kunufaika na biashara Mtandao kufikia 2025

    Ilifika wakati kipindi cha mwendazake kutamka neno "Crypto" ilikuwa sawa na kutamka neno "Bangi". Aishi maisha marefu mama Samia! #Mama wa Taifa
  11. Dickson Edwin Mgaya

    Ufisadi wa Sabaya: Mwenge wakataa mradi aliosimamia, Mabaunsa wake walikuwa Wajumbe wa Kamati

    Hakika tumechezewa vya kutosha! Wahuni walipewa ofisi kubwa za umma, ila Alham dull llah Mungu amefanya wepesi
  12. Dickson Edwin Mgaya

    Juma Aweso ndiye Rais ajaye

    😂😂 Bongo hata Amorapa akiwezeshwa anaweza vizuri kabisa!
  13. Dickson Edwin Mgaya

    Mwanasheria na Mwadishi wa habari mkongwe Ndg. Paschal Mayalla awashauri CHADEMA

    "Mayalla maana yake ni njaa". Alisikika kiranja mmoja wa Malaika akisema😂😂
  14. Dickson Edwin Mgaya

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Mawazo ya njaa tu haya!
Back
Top Bottom