Search results

  1. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kuchukua ubingwa msimu ujao au misimu kadhaa ijayo, lazima tujenge timu yenye ushindani mkubwa, kuna wachezaji hawafai kamwe kuendelea kuichezea chelsea Barkely, keppa, Rudger, Batshuayi, Azipucueta, Alonso, ermason, Jognho Wachezaji matakataka ya kubaki sub Odoi, L.Cheek, Tammy...
  2. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kuna watu huku hawastahili kabisa kuwa mashabiki wa Chelsea bali New castle, West ham. Shabiki mzima unaropoka Barkely mchezaji wa kutegemea Chelsea, kwahiyo tukikutana na city, man u, Bayern, Liver Barkely ashikishwe ukuta? Kuna haja ya kuhide comments za wapumbavu wachache hapa, nisione hizo...
  3. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ficha ujinga wako kiungo mshambuliaji wa kumtegemea? Man city watasemaje kwa KDB? Man u watasemaje kwa Bruno? Yaani ubingwa uchukue kwa kumtegemea takataka Barkely? We jamaa mpira unaujua sawa sawa?
  4. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jitoeni ufahamu tuu mchezaji yeyote ambaye yuko kwenye mapendekezo ya kuuzwa kama Barkely na wanaomaliza mkataba wao kama willan huwa wanawasha moto sana kuwashawishi waajiri wao wasiwauze au waongezewe mkataba na zaidi kuzivutia timu kubwa sokoni wanunuliwe. Barkely huyu akibaki msimu ujao...
  5. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Barkely Mzigo, mount mzigo kiungo itakufa
  6. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hizo sajili kubwa zinazoendelea kufanyika, zitakuwa kazi bure kama tutaendelea kuwa na Lampard kocha asiyekuwa na mbinu wala ubunifu. Lampard ni overrated hadhi yake ni championship, uwezo wake mdogo sana kuliko Arteta na OGS. Wachezaji wanashinda mechi kwa juhudi zao binafsi, Lampard kupanga...
  7. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bure kabisa, yule ni mchezaji wa championship.
  8. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hajifunzi kitu huyo kichwa box, msimu ujao mkopo utamuhusu au atapigwa bei, hana sifa wala uwezo wa kuendelea kuitumikia the blues. Aende huko championship akabambiane.
  9. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tuwape man u Abraham, watupe Greenwood
  10. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na tutolewe kabisa top 6. Timu imejaa vilaza kuanzia kocha mpaka wachezaji.
  11. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Abraham should better start today with his pace he can play a wider position maybe outside the stadium
  12. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Abraham kichwa panzi hakuna haja ya kumjadili takataka
  13. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Shabiki oyaaa oyaaa huyo. Shangamsha kijiwe
  14. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    West ham ametufunga mara mbili home and away. Tatizo la Mashabiki wengi wa Chelsea ni oyaaa oyaaa. Hatujui kuchambua mpira, mifumo, wachezaji, historia ya timu, future plan za club. Tunaenda kama mang'ombe tuu.
  15. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bro kinachotuuma sisi ni mbinu duni za Lampard angalia kikosi cha Everton na pia angalia mbinu za Ancelotti. Kocha lazima uwe na mbinu tofauti tofauti kwendana na mechi inavyokwenda. Lampard mbinu zake ni flat kwenye game nzima. Ule mpira wa Aston villa na Leicester ulikuwa wa hovyo, wingi wa...
  16. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hatuna kocha hapa, kocha hana mbinu kabisa, mbinu zake za kitoto sana, upangaji wa kikosi utoto mtupu, Anakatisha tamaa sana, Man u nusu fainali anatushikisha ukuta tena.
  17. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nikiongea hapa mnasema capital letters zinaumiza macho Mara ngapi nimekuwa nikisema Lampard ni kocha kiazi? Kwa mbinu zake anafaa kuwa kocha wa championship Mara ngapi nimekuwa nikisema Abraham ni kichwa panzi? Anacontrol mpira kama mama mjamzito. Timu imeoza imejaa wachezaji matakataka...
  18. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    ACHA KUMUULIZA MASWALI MSEMAJI WANGU.
  19. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    OOOH ABRAHAM BADO MDOGO APEWE MUDA ATAKUJA KUWA BONGE LA STRIKER, HIZI KAULI ZA KIPUMBAVU SANA DOGO GREENWOOD WA MAN U ANAKIPAJI KIKUBWA SANA KULIKO KICHWA PANZI WETU ABRAHAM. GREENWOOD ANA MIAKA 18 TUU LAKINI UKIMUANGALIA ANAVYO CONTROL MPIRA, ANA JICHO LA KUONA ANGLE GANI YA KUFUNGA GOAL...
  20. LONDON IS BLUE

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    LEO LAMPARD ASIDHUBUTU KUMUANZISHA MZIGO JOGINHO KAMA DM TUTAFUNGWA VIZURI KABISA. PALE KATI ACHEZE KANTE AWALINDE YALE MATAKATAKA KULE NYUMA:- (RUDGER, JAMES, TOMORI, ALONSO, EMARSON, AZIPU, CHRISTENSEN, ZOUMA) TIMU KATIKATI KWENDA MBELE INACHEZA VIZURI, MPIRA UKIFIKA MBELE UNAKUTANA NA...
Back
Top Bottom