Search results

  1. Marathon day

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Kwana kabisa nilishangaa siku ile anaingia Arusha na mapokezi makubwa alafu inaandaliwa gari ya Mkuu wa Mkoa, na Bensera ikiwapo inapepea, unaiacha gari na kumpakuza mwanao na yeye kupanda gari nyingine, imekaaje ile ki protoko? Gar ye nye benderabya mwakilishi wa Rais wa mkoa na bendera...
  2. Marathon day

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Kwana kabisa nilishangaa siku ile anaingia Arusha na mapokezi makubwa alafu inaandaliwa gari ya Mkuu wa Mkoa, na Bensera ikiwapo inapepea, unaiacha gari na kumpakuza mwanao na yeye kupanda gari nyingine, imekaaje ile ki protoko? Gar ye nye benderabya mwakilishi wa Rais wa mkoa na bendera...
  3. Marathon day

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Kama kuna m Akosa Rais Samia anayafanya basi ni kumkumbatia sana huyu Makonda!! Hana mwisho mzuri kwa chama na viongozi wenzake huyu hahitajiki kuwa kwenye ngazi yoyote ya maamuzi katika jamii!! Wanaokua karibu na Rais Samia hebu wamshauri kwa hekima amuweke pembeni huyu mtu!! Anavisasai sana...
  4. Marathon day

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    JKT ni JWTZ, kitu ambacho hujajua JKT ni chuo cha mafunzo (maandalizi) tu, wale ma kuruta na private ndio jkt, akishaajiriwa ni JWTZ au TPDF,mengine ni vitengob tu. Mavazi, vitambulisho na kila kitubni TPDF. jkt ina baki kama kituo cha mafunzo na uzalishaji tu
  5. Marathon day

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Hukusikia alikua anasema sitishiki na manenobJidy nishamkojolesha sanaaa! Alikua na kauli ya kifedhuli sana kwa mtaliki mwenza
  6. Marathon day

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Na yeye Gadna alimchamba sana x wake, kumkojolesha sana sio kauli nzuri kwa mwenza wako hata kama mliachana kwa mabaya.
  7. Marathon day

    Mwita Waitara: Rais Samia Anatosha na Chenji inabaki

    Huyunilikua namuona anzo kdg kichwani, lakini tangia aingie upande ule amekua bogaz kweli, kusifia tuu hana hoja za maana, hivi upande ule kunanini? Mbona kila aliekule ufahamu unakua zero kichwani?
  8. Marathon day

    Serikali kuweka shule za English Medium siyo ubaguzi kwa wanafunzi wa Kitanzania?

    Zipo mbona? Kama sikosei Kuna shule pale upanga niya serikali na ni english medea
  9. Marathon day

    Babu Tale: Jimboni kwangu hakuna Mochwari

    Mwendazake alituletea wabunge wa hovyohovyo kweli, shime wananchi tutumie vizuri sanduku la kura kutuletea wabunge wenye hoja za mashiko na tija kwa maendeleo ya majimboni, wananchi wanamahitaji makubwa zaidi ya hizo hoja
  10. Marathon day

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Mtifuano umeanza, tukae macho tutasikia mengibmwaka huu Sisko limeingia mmasai,
  11. Marathon day

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Mwarabu apewe ru hiyo tenda, makampuni ya Tanzania hawawezi watatusumbua tu. Inahitajika umakini wa hali ya juu na uwekezaji wa mabasi mengi
  12. Marathon day

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    Huyu Gambo inaonekana bado utoto haujamuiaha, nilimsikiliza , anahojiwa mpaka anatetemeka, haelewani na kila mtu huko Arusha, kiburi kingi, kujifanya mjuaji sana, naamini hata kwenye mchujo wa CCM hatapita, na uteuzi kwa mama asahau, Utoto mwingi
  13. Marathon day

    Serikali imekusudia kuboresha Mradi wa Mwendokasi DSM, Watu watapaki magari na kutumia Mwendo Kasi

    Kimara kwenye kupanda hata upange foleni kusukumana kama kawa, watu wanaacha viatu, mabegi, mikoba mpaka simu kwa kusukumana, wangeweka bomba kwenye eneo la kuingia kwenye mabasi ili kuondoa fujo za watu wasiofata mtiririko wa foleni ya kuingia kwenye mabasi, hasa Kimara asu uhi ni shida sana
  14. Marathon day

    Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

    Hutakiwi kubandua, unatakiwa kurudi kwenye macamuni yanayotoa hizo number, nenda na card yako ya gari na number ulizoziharibu, utalipia 30,000. Na kupewa number mpya zenue viwango, hizo ulizozibandua kisheria hazisomeki.
  15. Marathon day

    Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

    Sio rasmi na hazina viwango, nenda wanapozitengeneza, ni vishoka tu wanavibandika vichochoroni. Wako sahihi, havina ubora wa TBS
  16. Marathon day

    DOKEZO LATRA fanyeni hivi kutatua Tatizo la bodaboda na bajaji na usafiri wa mijini kwa ujumla

    Mimi kilio changu wasajili daladala mbadala wa mwendo kasi, ziwe kwenye ruti ya mbezi kivukoni via morogoro road, mbezi kariakoo via morogoro road, hii njia ukiacha mwendo kasi ambayo imefeli ni adha tupu, ndio imejaza hivi vibajaji na pkpk, kuwe na rout hizo kuisaidia BRT ambayo imezidiwa. Watu...
  17. Marathon day

    Kisa cha Rais Ali Hassan Mwinyi kipigwa kibao akihutubia

    Bahati nzuri au mbaya Aliemzaba kibao muheshimiwa Rais ashafariki naye pale mabibo Loyola
Back
Top Bottom