Search results

  1. iKiki93

    Natafuta mwekezaji / angel investor

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mjasiriamali. Na natafuta mwekezaji ama angel investor kwa ajili ya biashara ya mgahawa wa burger jijini Dodoma.
  2. iKiki93

    Je naweza kupata mkopo bank kwa kutumia business plan?

    Habari ndugu zangu. Mimi ningependa kuuliza kama mtu ukawa na wazo zuri la biashara, ukaandaa business plan nzuri unaweza kupata mkopo bank? Na kama kuna mtu anafahamu ni benki gani inaweza kukubali naombeni mawazo jamani mtaani kugumu.
Back
Top Bottom