Search results

  1. B

    Car4Sale Toyota Rav4

    Bado ipo mkuu karibu Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  2. B

    Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Asante ila haina masilahi
  3. B

    Naleta simu kwa order from korea

    Nataka Note 3 na Note 4 za 32GB na ziwe na uwezo wa 4G utaniletea kwa bei gani maana nataka compare ni kiagiza kwako na nikiagiza from China wapi nitasave.
  4. B

    Car4Sale Toyota Corolla X

    180,000
  5. B

    Car4Sale Toyota Rav4

    Full ac Full vibali FM/AM Radio Engine haisumbui Matairi yako vizuri Bei 6.3 Million Kwa maongezi zaidi 0716398757
  6. B

    Car4Sale Toyota Corolla X

    Full vibali Full ac Engine mpya haina tatizo Haigongi chini DVD/Bluetooth Music Luxury seats Perfect in every way Bei 6.5 million Kwa maongezi zaidi 0716398757
  7. B

    Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Asante karibu sana
  8. B

    Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Nashukuru kwa elimu mkuu
  9. B

    Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    0716398757 Check me tuongee
  10. B

    Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Harrier Old Model 2990cc 6 Cylinder 180,000km Silver/ Grey Color TV Full Ac Vibali vyote vimelipiwa Matari yanafaa kwa safari ndefu Engine safi haisumbui wala kuvuja Automatic 5.9 million 0716398757 Exchange pia ina karibishwa. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
  11. B

    Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Nashukuruu sana wakuu hapa sasa naona nimepata mwanga basii nitawapa feedback nikifanikiwa kuitibuu.
  12. B

    Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Hayo maswali nilishayajibu mkuu ila labda ni ya jibu tena. Kwanza nianze kwa kushukuru kwa hio link na maelezo hapo tatizo tuu ni kwamba kwenye hio link nimeshindwa elewa vitu vingine maana uelewa wa mambo ya IT sina sana. Majibu ya maswali yako ni haya hapa. 1. Niko Dar es salaam, Mbezi...
  13. B

    Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Basi labda hizi picha zaweza saidia uelewe zaidii
  14. B

    Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Its orignal kaka vyote hivo nimefanya camera test na code test zote all that, ni orignal kabisa sema ndio hivo
  15. B

    Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Daaaah sina box lake mkuu ila inavoonekana haikutengenezwa kwa ajili ya matumizi ya Kiafrica au Tz sema sasa ndio how do i change that to 3G ndio shida yangu
  16. B

    Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Yeah inawezekana mkuu japo hamna sehemu yoyote kwenye simu inayo onyesha ni made under T-mobile, At&T au Verizon mitandao mikubwa ya simu huko nje lakin sasa how do i overwrite this ili iweze soma 3G.
  17. B

    Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Sio tatizo la line wala eneo mkuu nishajaribu hivo vyote mpaka nilipogundua kwamba hii simu ipo programmed kusoma 2G(Edge) tu. Angalia hii about phone hapo chini hapo kwenye Mobile Network Type imeandika EDGE. Ndo maana nimeomba msaada wenu kama kuna ujuzi wowote wa kuiwezesha iweze soma 3G...
  18. B

    Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Nahitaji msaada simu yangu ni Note II orignal lakini imekuwa programmed kupandisha 2G(Edge) network only wakati ukienda kwenye network options unakuta inaweza pandisha hadi 4G na 3G/ WCDMA ila ukichagua hizo haisomi mtandao kabisa. Sasa tatizo langu ni jinsi gani naweza ifanyaa iweze soma 3G...
  19. B

    Mark II Grande GX110 bei poa

    Bei nimeweka hapo juu ni 8 million
  20. B

    Toyota IST for sale

    Year 2003 1.3L 67000km 9 million Great condition Full a/c Super music system Fairly used 0716398757 Serious buyers only
Back
Top Bottom