Search results

  1. babu salu

    Naomba msaada kwenye hili la NSSF

    mm ni mwajiriwawa kampuni fulani hapa nchini mwajiri wangu ananikata nssf lkn kule hapeleki ni mwaka wa 3 sasa kila nikiangalia salio hamna kitu nifanyeje ili kuhakikisha pesa yangu inafika sehemu husika Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  2. babu salu

    Mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa

    nauza mashine ya kukamua juice ya miwa sh laki 5 ipo katika hali nzuri location chanika Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom