Search results

  1. glamorama

    Dawa ya Umaskini, madeni, ukata, mifuko kutoboka, uhitaji, kufilisika hii hapa!

    Mwaka 2010 nikiwa chuo Kuna mwanafunz wa primary alinipita njian alikuwa amechafuka saana,nikamuuliza shida n nn akasema Hana sabun.nikampa elfu 2 na ndo nilikua nayo nikamkumbatia nikamuaga,kesho yake nikapata muamala wa elfu 40000.
  2. glamorama

  3. glamorama

    Expirience yangu ya Kupima UKIMWI baada ya kuangukia pabaya! Tupe uzoefu wako...

    Eti stress kama ukanda wa gaza ,,,nimecheka kwa kwel
  4. glamorama

    Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Weeee!!Mimi namfahamu sifika,huyo alikuwa mwanafunzi mwenzake wakiwa o level na alipata zero.
  5. glamorama

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Una moyo mkuu,Mimi angekuwa ashachukua wadogo zake siku nyingi sana
  6. glamorama

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    BM hivi dogo wa bugurun kachukua wadogo zake au Bado wako kwa sister?
  7. glamorama

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Dirisha la ushaguzi limeshafungwa
  8. glamorama

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Ndio mkuu,naona umeniacha sehem,kwan ulishamjibu?
  9. glamorama

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    BM story haijaisha Mana hujatuambia jibu ulilompa carren baada ya kusema kuwa atabadili tabia ambazo huzipenda na kuwa Yuko tayar kukuvumilia
  10. glamorama

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Bado Niko gizani mkuu,una maanisha kuwa sasa uko na carren kimapenzi?!Mana kwenye kipande kilichopita uliishia hewani
  11. glamorama

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Kwa hiyo tuseme kuwa uko na mahusianao na Caren kwa vile haufanyi Tena kazi kwao?Mana alisema atakuvumilia! Tuweke sawa hapa kwanza
  12. glamorama

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Kura yangu kwa Carry Kwa hiyo sasa hivi una mishe gani mkuu?
  13. glamorama

    Usishindane na mwanamke akiamua lake hashindwi nimekubali

    Probably itakuwa togwa[emoji16]
  14. glamorama

    Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

    Nimechanganya mdaladini,hiliki,karafuu,pilipili manga kidogo Kisha nikatwanga nikafungia kwenye kopo.wakati wa kuandaa na chemsha maji tuu hatimae naweka kwenye chupa ya chai na huo mchanganyiko ili kuhifadhi ladha na harufu yake ya asili.
  15. glamorama

    Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

    Angalieni lecture inatwa ALL ROADS LEAD TO ROME na ISLAMIC CONNECTION.mtanishukuru
  16. glamorama

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Sina hakika,lakini Ni Jambo jema maana anaepuka surprises.waswahili wanasema Bora nusu Shari kuliko Shari kamili lakini hata mzee pia anaweza kuitumia kwenye issue zake za siri
Back
Top Bottom