Umejuaje kuwa huyo ni janja janja? Unapopata hela jaribu kula, kuweka akiba, kuwekeza kwenye biashara tofauti tofauti na kufanya maendeleo tuone kama hautoboi. Tatizo hela zenu badala ya kuziwekeza kwenye biashara tofautitofauti ili zizae zaidi nyie mnaanza na majumba makubwa mnayojenga kwa...
Nchi hii ni ya ajabu kweli ukiwa masikini ndio kuwa wewe ni mzalendo au ni ujinga tu! Wabongo tukiacha wivu wa maendeleo tutapiga hatua. Aliyewaloga kuwa matajiri wataishi kama mashetani ameshakufa.
Uwezo mdogo wa vijana waliozoea kufahulu kwa standardization, ma lectures endeleeni kusimamia viapo yaani unawapa wanachostahili (haki) na si kutengeneza mawakili vilaza wanaolipa taifa hasara kwa kusaini mikataba ya ovyo.
Sehemu kubwa ya ardhi yenye rutuba ambazo hazilimwi natengeneza mfumo inakuwa ni vijiji vya ujamaa vinakuwa chini ya Suma JKT vijana wa mjini mabishoo, wavivu, wapiga debe, wakatisha tiketi na wanaokula kwao wanasubiria ajira za serikali nawapeleka huko wakalime na kusindika mazao nchi ipate hela.
Mtoto afundishwe kusoma na kuandika kiingereza na kiswahili, uzalendo na maadili, stadi za kazi, mazoezi ya viungo, elimu ya afya, elimu ya fedha na fani. Vingine ni kupotezeana muda.
Hapo labda waajiri walimu wa ushauri na nasihi wengi tofauti na hapo ni kupoteza muda. Na pia waweke vipindi vya maadili kwenye vyombo vya habari ili ujumbe ufikie jamii nzima mana kama wazazi wao na jamii inayowazunguka haina maadili ni kupoteza muda.
Walimu wa ushauri na nasihi ni muda muafaka kuajiriwa kwa uwingi mashuleni hasa sekondari wenda wakasaidia kuleta ufanisi mzuri katika kubadili tabia mbaya kwa baadhi ya wanafunzi na walimu wao mana kesi za walimu kwa wanafunzi, walimu kwa wanajamii, walimu kwa walimu zinazidi kufukuta kwa kasi.
Ifikie kipindi serikali iambiwe ukweli kuwa failure kubwa ya wanafunzi inasababishwa na nidhamu mbovu ya wanafunzi na mmomonyoko wa maadili kwa watoto na wazazi wao. Kama tu kupeleka shule watoto hadi watishiwe kukamatwa na mgambo kwa nini wazazi wasiwe maadui wa walimu? Drop out ya wanafunzi ni...
Elimu ikifanyiwa siasa za washenzi wa magharibi twafa wamefail wao kwenye maadili ya watoto wao kwa sera zao mbovu wanatuletea huku ndio maana kwao karibu kila siku wanafunzi wao wanatwangana shaba na kuwapoteza maticha wao. Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe yaleeni tu kindez dez.
Mtaka ana akili sana! Adhabu iliyobakia kwa wanafunzi wenye utovu wa nidhamu ni kufukuza mana wanafunzi wa siku hizi wakipewa adhabu mbadala wanakufa, mbali na hapo kuzipa NGO's na vyombo vya habari umaarufu linapofikia suala la adhabu utafikiri ni kitu kipya.
Misaada ya wazungu huwa ni ya kupumbaza hawasemi kujenga vyuo vya ufundi au scheme za umwagiliaji au maabara za kisasa wanataka watudumadhe kwenye nadharia tu.
Mnyonge mnyongeni Iakini haki yake mpeni, kongole kwa mama umejenga barabara nyingi za mitaa na mitalo ya maji machafu na kuweka mipango miji vizuri kuliko awamu zote, kwa sasa huwezi kutofautisha vijiji na miji.
Pia unajitahidi kutekeleza miradi mingi ya maji mijini hadi vijijini, kwa Sasa...
Chonka kasigazi haka kataina magezi😁 Watu wa Mara hamna akili kila kitu ni nguvu bila kutumia akili, mtu kukurarua na panga ni kugusa ndio mana tuwapa kazi ngumu za kulinda nchi mkizubaa tu shaba ziwatandike. Genta ni mtu wa utani na ni mtani wenu msipanic
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.