Search results

  1. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Habari, Ninahitaji mke wa pili, naandika tena (Mke wa pili) alie muislamu. Sifa yangu. 1. Nina mke mmoja 2. Nina mtoto mmoja 3. Nimeajiriwa 4. Muislamu Nahitaji mke wa pili mwenye sifa hizi 1. Awe mwanamke au mjane 2. Awe muislamu 3. Umri 25 - 33 4. Awe ameajiriwa (Dar es salaam) 5. Asiwe na...
  2. Is-haqqa

    Nahitaji kitanda, kabati la nguo na dressing table

    Habari wanajamvi naamini humu wapo wajasiriamali waliojikita katika biashara ya furniture ama useremala. Nahitaji: Kitanda, mbao ya mkarati, kiwe futi 6 kwa 6 Kabati la milango mitatu, mbao mkarati Dressing table mbao mkarati Kwa yeyote ambae anabiashara hii nifate inbox au post namba yako ya...
  3. Is-haqqa

    Natafute mke Muislamu

    Assalam alykum Natafuta mwanamke wa kumuoa awe muislam ana maadili mazuri ya kiislam. Umri wake kuanzia 23 hadi 30. Mi ni mwislam umri wangu 30 Nimeajiriwa Naishi Dar es salam Aliekuwa tayari ambae yupo serios inbox me tufahamiane. Narudia mwenza lazima awe muislamu
  4. Is-haqqa

    Mchumba wa kike anahitajika

    Nahitaji mwanamke ambae anajielewa wa kuanza nae urafiki hadi kuwa wachumba. Na siku za mbele tuweze kuwa wanandoa Sifa zangu Ni muislamu Umri wangu 30 Ninaishi single Sina mtoto Sifa za ninaemuhitaji Mwanamke mwenye tabia za kike Awe muislamu kama mimi Umri wake kuanzia 21 to 26 Awe hana...
Back
Top Bottom