Search results

  1. K

    Daraja la Busisi kuanza kujengwa, meli Mpya ya abiria elfu moja kununuliwa

    Usibishane na wajinga hawajui hata wanachokisema.eti nusu ya bajeti.nilichogundua ni kwamba jamii forums ina tatizo la kuwa na members wengi wanaochangia vitu ambavyo hawavijui lakini wanajifanya kujua.hatua imeepelekea jamii forums kuwa sehemu ambayo haiaminiki maana waleta mada wengi na...
  2. K

    Daraja la Busisi kuanza kujengwa, meli Mpya ya abiria elfu moja kununuliwa

    Tatizo kubwa tunachangia bila kufanya tafiti.tafuta kitabu cha bajeti ya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2016/17,ukienda katika sekta ya uchukuzi utakuta pesa za malipo ya awali kwaajili ya ujenzi wa Meli mpya ziwa victoria shilingi bilion 21,pia utaona Ujenzi wa...
  3. K

    CCM wakimpitisha Lowassa, UKAWA wanafanya sherehe asubuhi kabla ya kampeni

    I can assure u all that this post has been engineered by cowardness.Hii post ni ya maccm yanayomuogopa lowassa.huwez kufichua siri ambayo una matumain inakusaidia.
  4. K

    TCCL Interview

    we kanye tu kwenye interview
  5. K

    Ngazi za Mishahara: PGSS 9 & PGSS 10

    hivi hii mishahara ni Gross au ni basic?
  6. K

    Ngazi za Mishahara: PGSS 9 & PGSS 10

    hayo madaraja madogomadogo katika kila daraja kubwa unapanda kila baada ya mwaka mmoja kutegemeana na tarehe yako ya kuajiriwa.madaraja makubwa unapanda kwa vigezo vya elimu au kama utapewa nafasi ya juu yenye majukumu zaidi
  7. K

    Re: Certified copies of academic certificates

    certified true copy of original....chukua vyeti vyako original,piga copies kadhaa then peleka kwa mwanasheria au hakimu copies hizo pamoja na originals zake atakupigia muhuri kwenye copies hizo pamoja na kusaini.maana yake atakua amethibitisha hizo ni true copies of originals which you are ready...
  8. K

    Tume ya ajira na sharti la kuthibitisha vyeti kwa mawakili na mahakimu

    kucertify ni lazima wakati unatuma maombi kwa nafasi za serilkali na taasisi zake.unachoweza fanya usingoje mpaka nafasi zitoke ndo uanze kufanya hiyo michakato,ninakushauri tafuta pesa,u then certify a number of copies and keep them for future benefit and never misuse those certified copies.it...
  9. K

    KPMG wamenipigia simu

    Kubali kuwa umeshindwa interview na wamepewa kazi watu walio better kuliko wewe, acha kulalamika na kupondea mshahara wakati uliitakahiyo kazi. roho inakuuma nenda kakae chini au wapigie wakuambie ulikosea nini zaidi na ujifunze ili mbeleni upasi interview. kwa tabia yako hii sitashangaa...
  10. K

    Watanzania tuungane kupinga ajira za undugu TRA, BOT, TBC, EWURA

    Mtu wa tabaka la chini ni ngumu sana kuassociate moja kwa moja na kundi hili la tabaka la juu maarufu WANAMTANDAO maana limejaa watawala,maboss wa mashirika ya kiserikali na vyombo vya dola.kundi ambalo kwa kias kikubwa linakwamisha maendeleo ya nchi maana wao wanajali zaid matumbo yao. Sasa...
  11. K

    Watanzania tuungane kupinga ajira za undugu TRA, BOT, TBC, EWURA

    Hii ndio Tanzania yetu ya sasa.Tunakoelekea ni kubaya sana.Ajira za serikali na mashirika yake zipo mifukoni mwa wanamtandaoni flani hivi hapa nchini.Mtandao huo ni wa wale wenye kipato cha juu ambao wanadhani kuwa kila kitu kizuri hapa dunian ni kwaajili yao na familia zao,jamaa na marafiki...
  12. K

    Kuitwa kazin TRA

    habari zenu wadau.. kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu ile Oral interview ya TRA iliyofanyika pale msimbaz centre 28/03/2012 ya nafas za customs officers(40)?Je watu wameshaitwa kazini?naomba mwenye taarifa ya uhakika atujuze kinachoendelea. Aksanteni.
  13. K

    NSSF haooooo!!

    ni kweli.mtu wangu wa karibu kapigiwa sasa hivi yeye kaambiwa jumamosi tar 30.
  14. K

    NSSF haooooo!!

    ndugu yako alifanya written interview post gani?
  15. K

    TRA-written interview

    Ndg.MAJASHO.Uliza waliokwenda kwenye interview leo swali namba tatu liliuliza nin.At least kwa aliekua kaona nilichouliza kina maana basi atakua kafaidika.TUSIPENDE KUPUUZA SANA WATU.
  16. K

    Mkanganyiko juu ya ajra mpya katika jeshi la police

    acha ujinga.taarifa kamili ni hizo ulizoziona kwenye website yao.watanzania mmezoea sana majungu,yaan unawezaje kuomba taarifa zaid mtaani wakati umeona taarifa kamili kwenye website ya hao jamaa?huyo uliechat nae ndo IGP au?badilikeni.
  17. K

    Job resign

    Kazi mbaya ukiwa nayo...
Back
Top Bottom