Search results

  1. TEZIJIKE 2

    Utaratibu VETA mpya Chato

    Habari wakuu, Nina kijana anahitaji kusoma masuala ya ufundi anapenda hasa masuala ya bomba yupo kanda ya ziwa na nikaona Chato ni karibu zaidi lakini mpaka sasa sijui utaratibu wa VETA hii uko vipi kupokea wanafunzi mwenye kujua tafadhari naomba msaada hasa watu mlio karibu na VETA hii ya Chato.
  2. TEZIJIKE 2

    Wasanii hawa walijipa majina ya hadhi ya juu. Je, ni wangapi wamewahi kuwa na hadhi hiyo?

    1. Professa Jay Je, ni kweli ana degree hata moja? 2.Afande Sele Je, amewahi kuwa hata mgambo? 3. Luteni Kalama Cheo kikubwa sana nafikiri polisi au jeshini? 4. Inspector Haroun Je, amewahi kuwa hata polisi wa kawaida? 5. Mheshimiwa Temba Aidha mbunge, Au waziri 6. Imam Abbas Nafikiri kwa...
Back
Top Bottom