Haya mambo mazito sana: Kuna Mdau alihoji "what if Bwana Katibu ndio alinyanganywa tonge mdomoni na Bwana Mchungaji na Mama Mchungaji akaamua kuendelea kumliwaza Bwana Katibu mpaka alipoona kachoka akashauri waachane"
Daaaah! Kama ni kweli aliyasema hayo basi kazi ipo. Kwamba hicho ndio kigezo pekee alichoona akisifie juu ya mkewe na kuujulisha Ulimwengu?! Hakujua kua bwana Shetani alikua pembeni anakula push up na kunyanyua vyuma ili aisambaratishe Ndoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.