Search results

  1. F

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Mmeanza mambo gender issue mda si mrefu mtarudi kwenye udini mwishowe kumalizia na UKABILA!!!:eek2:
  2. F

    Elections 2010 Dr. Slaa: Mzalendo wa kweli

    Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi machoni, wala asiye mzembe wa kufikiri, anaalikwa asome kwa uangalifu na azingatie makala hii na...
  3. F

    Wasiwasi wangu kuhusu gazeti la mwananchi vs chadem

    Wadau mimi ni mpenzi sana wa gazeti la mwananchi hiyo inatokana na umakini wa habari zake. Lakini tangu ndugu Kafulila atoke Chadema hawa ndugu wa gazeti la mwananchi naona wamepata dili! kwani hakuna gazeti wanalotoa bila kajihabari kanakohusu Chama Cha Chadema. Kwa upeo wangu mimi naona...
  4. F

    Tuhuma dhidi ya JK zaikoroga CCM

    Mini naona Makamba atakiwa ashauriwe kupumzika kwani wakimuacha aendelee na huo wadhifa wake 2010 CCM watakuwa na wakati mgumu sana! hao matajiri anaosema wako wangapi? je masikini wanao changia kuku wakigoma kuchagua CCM huyo muhuza sura wake (Kikwete) atarudi ikuru? Labda huyu Ndugu Makamba...
Back
Top Bottom