Search results

  1. M

    Nani alishatokewa na hii situation?

    Habar za J2 wana MMU. Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kiukweli iliniacha kwenye situation....niseme tu nliangukia kweny upendo kwa binti mmoja ambaye tulikutana mwaka 2019, kipindi hicho ndo anakarbia kumaliza form six, bac kijana wa watu nikajitoa kwel na kuonesha care ya hali ya juu...
  2. M

    Msaada na ushauri

    Nina tatizo la tumbo kuuma na kuharisha pale tu nikitumia asali,ningeomba mwenye kujua tatizo ni nini na nifanye nini ili niondokane na. Kadhia hiyo maana inanisumbua sanaa
  3. M

    Malegendary naombeni mbinu zenu za msituni

    Polen kwa taharuki ya janga hili la coronaa... Niende tu kweny mada moja kwa moja,kuna binti flan mrembo wa hajaa nmemtokea last year,kiukwel na yy alinielew..jangaa likaanza pale anaanza nambia yeye hajawah toka na boy yyte xo n virgin,kuskia vile alarm ya kichwa ikaanza gonga na nikaanza...
Back
Top Bottom