Malegendary naombeni mbinu zenu za msituni

Marine creature

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
2,264
2,961
Polen kwa taharuki ya janga hili la coronaa...
Niende tu kweny mada moja kwa moja,kuna binti flan mrembo wa hajaa nmemtokea last year,kiukwel na yy alinielew..jangaa likaanza pale anaanza nambia yeye hajawah toka na boy yyte xo n virgin,kuskia vile alarm ya kichwa ikaanza gonga na nikaanza kuskia harufu ya kunyimwa utamu kwan wengi wanaojipretend n bikra huku haipo n dalil njema kabixa za kukataaa kutoa mzigo...

Basi kijana nkaona is not a big deal so far acha nimskilizie due yuko mbali..juz karudi mtaa najarbu kuguzia masuala ya kugusanisha ananambia atakuja kwangu ila mzigo hato,nkimuulza kwa nn?anakuja na vijisababu kwamba mpk atimize ndoto zake..Ss wakuu nlikuwa naomba ushaur hapa kwamba nimpige ban asijee?au ajilete tu afu nimuwekee taharuk ka ya korona mpk anipe mzigo?
 
nimekuja mbio nikijua unataka mbinu za kupambana na waasi msituni kumbe unataka mbinu za kula mbunye , any way tafuta Uzi wa kula tunda kimasihara hapo utapata mbinu zote za kijasusi za kula mbunye .
play safe, kula mzigo salama Corona inaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huo mwandiko naomba urekebishe kabla hawajaja hapa watoa ushauri. La si hivyo mada itabadilika.
 
Msituni unatakiwa ujue unaingia kufanya nn hilo la1
2, silaha ziwepo za kujikinga,
3.chimbo lakufanyia kilichokupeleka utakua umelipata tàyar kazi kwako kuvuna miti na kuchoma mkaa


Sent from my SM-G988 using Tapatalk
 
Msituni unatakiwa ujue unaingia kufanya nn hilo la1
2, silaha ziwepo za kujikinga,
3.chimbo lakufanyia kilichokupeleka utakua umelipata tàyar kazi kwako kuvuna miti na kuchoma mkaa


Sent from my SM-G988 using Tapatalk
vyote vipo sawaa sema mhusika ndo anakuwa kikwazo
 
Huyo kashakubali kaka wee akija muwekee movie ya migegedo mingi mwenyewe atakupa papuchi hiyo
 
Back
Top Bottom