Search results

  1. H

    Afrika Kusini: 9 wafariki kwa kusombwa na maji wakiwa kwenye Ubatizo, 8 hawajulikani walipo

    Jamani vitu vingine vya kujitakia unaona km maji ni mengi
  2. H

    Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Kwahiyo mnataka kutuambia Majaliwa hakusaidIa ama? Mwacheni nae alicheza pat yake huyo muhudumu yuko wapi?
  3. H

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

    Sijui inakuaje hapo maana ata akificha kwann ameeudi na huku habari Zimesha sambaa
  4. H

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

    Km mazoezi wanayamudu wangewaacha maana sidhani km kuna Shoga angeweza yamudu mazoezi au isikute wameharibikia hapo kwenye kambi
  5. H

    Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

    Aisee ana Roho ngumu afungwe tu Maisha mabaya Msamaha wa Rais asitoke
  6. H

    Paroko wa Kanisa Katoliki akutwa amefariki, mwili wakutwa kwenye tanki la maji

    Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie Apumzike Kwa Amani.
  7. H

    Njombe: Wawili wauawa na mganga wa kienyeji na kutupwa msituni

    Aisee Maisha Magumu sana Watu tunatafuta short cut
  8. H

    Arusha: Aliyeua na kuondoka na kichwa cha mlinzi ni mlinzi mwenzake

    Mmmh kweli ana roho ngumu mpk akate shingo yote ya binadam mwenzie tumwombe Mungu kwakweli.
Back
Top Bottom