Search results

  1. P

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    nawapongeza polisi wetu kwa kujitahidi kuweka amani kwani chadema huwa awtaki amani, polisi ndio professanal yao kama ambavyo wewe unaitwa Mhasibu , wakili au daktari yeye anaitwa polisi , big up polisi napenda nisikie kutoka kwenu kuwa jeshi la wananchi pia wamekuja kuongeza nguvu. ongereni...
  2. P

    Ewuraaaaaaaa

    Kwahili la kupandisha bei ya mafuta ya taa nadhani serikali ilikulupuka, nasema ilikulupuka kwa sababu sababu walizotuambia wanapandisha bei ya mafuta ya taa ni kutokana na uchakachuaji, kama sababu ni uchakachuaji ni kweli serikali yetu imeshindwa kuwadhibiti wafanya biashara wa chache sana...
  3. P

    T.C.R.A Wanatumaliza; TiGO Nao Wanatunyofoa Ngozi, Chukua HATUA

    Mimi nimeacha kupiga simu za tigo jioni maana nimeweka mia tano nimetumia sekunde 10, nimewapigia c.care hawapokei,
  4. P

    Vituo vya mafuta vyagoma kuuza mafuta Mbeya

    SIO MBEYA PEKEYAKE TANGA NIMEAMBIWA WAMEGOMEA KUUZA PETROL KWA ZAIDI YA WIKI MOJA SASA , WAO WANAUZA DIZELI PEKEYAKE ISIPOKUA KITUO KIMOJA TU CHA GBP, WAKIAMBIWA WAPANDISHE BEI UTAONA KUANZIA SAA SITA USIKU ZIMEPANDA, WAKIAMBIWA WASHUSHE WANADAI WANAPATA HASARA, kwani hawa wamiliki wa vituo vya...
  5. P

    Kuitwa kwenye intaviu NHIF

    WEKENI MAJINA, MIMI NTAJUAJE KAMA BARUA YANGU ILIFIKA ?? KAMA AIJAFIKA NIKIJA MTANIRUHUSU KUFANYA IYO INTERVIEW, NIMEFUNGUA WEBSITE YENU PIA AKUNA MAJINA, binafsi naona tangazo lenu alijajitosheleza sijui wadau wengine wanasemaje please tunaomba wekeni majina kwa wote wanaotakiwa kuja
  6. P

    Cameron threat to withhold UK aid to anti-gay nations ........ WATANZANI MPOO

    awa ni mashetni wa kizungu, wanaona haki za kibinadamu ni kufanya mapenzi ya jinsia moja!!!! wametuibia mali asili zetu alafu sasaivi wanasema wanatusaidia, ni bora kufa masikini kuliko kukubaliana na izi sheria za kishetani ambazo sio utamaduni wetu kote afrika. KWA WASIOJUA TANZANIA...
  7. P

    Umakini katika madini unaweza kunusuru uchumi na kuimarisha shilingi

    Kanali muamar al gadaffi aliweza kutumia rasilimali moja tu ya mafuta ambayo wamepewa wananchi wa libya kuweza kupandisha uchumi wa libya maradufu, ela ya libya ilikuwa inatofautiana sikuzote kwa kiasi kidogo sana na dola ya marekani, yeye sera yake alikuwa sikuzote anataka mafuta yabadilishane...
  8. P

    Mzee wa upako: CCM ya Kikwete ni mbaya kuliko rais Gaddafi

    Jamani viongozi wa dini nia watu ambao tunawaamini sna sisi waumini lakini siku izi tunanza kuwa na wasiwasi nao , si ndio hawahawa waliokutana jangwani mwaka 2005 na kutuambia kikwete ni chaguo la mungu, wao wanatufundisha utakatifu wa mungu na sisi tunaamini kuwa mungu awezi kukosea je uyu...
  9. P

    Gadaffi alistahili kusokomezwa kijiti cha makalio kweli?

    Unajua wanachokifanya wzungu ni u freemason, hawana dini kama ambavyo wanajitangza, wamewashinikiza waasi wachache wa gadafi ambavyo hata hapa tanzania wapo wanayoipinga selikali yetu sasa ili kufanikisha adhma yao wanashikilia vyombo vyote vya habari na kueneza propaganda kuwa gadafi akubaliki...
  10. P

    NSSF wameshaita wa2 kwenye interview?

    Nakumbuka mwaka 2008 nssf walitangaza nafasi za kazi mwezi wa nne (4) tuliitwa kwenye interview mwezi wa tisa (9).
  11. P

    Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

    we love and our hope to see you again in the coming parliament session . we will not understand your enemies if any thing bad will happen to you. WE LOVE YOUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
  12. P

    Yani me mawazo yangu yako jeshini tu!

    unataka kuja kupindua nchi au unaajenda gani nyingine . wewe bado auja qualify,
  13. P

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Papaa kama upo siliazi na kutafuta kazi basi inabidi ushukuru kwa kupewa link ni jukumu lako mwenyewe kutafuta, lipa hata buku uingie internet cafeee. Kwani unalaumu kwa uyo anaekusaidia kukupa linki wewe unamlipa nini na hata akujui kwanza then anakusaidia wewe unamlaumu. Inaonekana hata...
  14. P

    Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    ongera sana papaa kwa kutambua kuwa hao ni matapeli, mimi maranyigi nakutana na maseji za kitapeli ivo kwenye mail yangu marazote wanadai wao ni wakimbizi wa DAFUR, LIBYA ,ICORY COST AU SOMALIA NA WAPO UKIMBIZINI SENEGAR ILA BABA ZAO WAMEULIWA KNY VITA LAKINI WALIKUWA WANAMILIKI MAKAMNPUNI ETI...
  15. P

    Serikali ya Tanzania yatoa tamko, yamlilia Gaddafi

    wa afrika tunatakiwa kujikomboa upya kutoka kwa mabeberu haya kama ambavyo walifanya mababu zetu, tulisoma kwenye historia na tukawasifu lakini sasa tunaitaji wajukuu zetu waje watusifu kama ambavyo sasa tunawasifu kina mkwawa, isiki, abushiri, kinjekitile na wanginewe, awa walichoshwa na...
  16. P

    Serikali ya Tanzania yatoa tamko, yamlilia Gaddafi

    Tanzania kwasasa atuna udikteta, dikteta mwalimu nyerere alishakufa kwani yeye alitunga sheria yake ya detention kuwakandamiza walie pminga, alafu leo tunamwita babab wa taifa, gadafi ni shujaa wa afrika na waarabu pia, Dr silaha ni kibaraka wa vatican na ujerumani
  17. P

    Serikali ya Tanzania yatoa tamko, yamlilia Gaddafi

    JAMANI MI NAMPONGEZA BENARD MEMBE NA SERIKALI YA JK KWA UJUMLA NA ANAFAA KUWA RAIS, KAMA KUNA ALIEMSIKIA VIZURI AYAKUMBUKE MANENO YAKE KWA KUSEMA TANZANIA NI NCHI HURUISIYLAZIMISHWA, KUNA NCHI CHACHE SANA AFRICA ZINAZOWEZA KUTOA MATAMKO YA KIJASILI KAMA TZ, KWA WALE AMBAO NI MABENDERA NA...
  18. P

    Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

    Kama ambavyo wakristo walivoichukulia na kueneza propaganda kuwa cuf ni chama cha kidini (waislamu) ndio hivyoivyo waislamu wanavyokitambua chadema kuwa ni chama cha wakristo (wakatoliki), kama ambavyo tumegawika ivi basi ccm itaendelea kutamba na kutesa kwa kutumia theory ya divide and rule.
  19. P

    Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

    Yeyote anaweza isipokua uyo anaekaa na kimada tena cha wizi sidhani kama uko kanisani alikuwa mwizi pia
Back
Top Bottom