Hapo sipakumbuki vzur ila nakumbuka dogo alikua amevimba mbaya, akatolewa nnje na wahuni wake na wheelchair kaenda kuvuta sigara nnje anakutana na hank nae analetea hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yupo sawa anavyoniona mimi ndio nakosea? Sasa kati yangu na huyo alienitafuta nani ambae kichwani dish limeyumba, yeye katoa maoni kimhemko bila kufikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwanamke nadhani utakua ndio wewe nadhani, sasa kama mnakaa mnapanga mnitafute mimi inamaana mimi ni kama mmewenu naweza nikawaoa wote wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.