Search results

  1. S

    Tofauti ya matamko ya viongozi wetu wa sasa na wale wa zamani

    Niingie kwenye mada moja kwa moja, viongozi wa sasa wanapotoa matamko yao kwa sasa utawasikia. "Kwa niaba ya Rais wangu mpendwa, anasema hivi na hivi, kwa niaba ya serikali hii ya awamu ya tano inayoongozwa na jemedari wetu au msaada huu mama ameuotoa kwetu, nk Wale wa zamani walisema...
  2. S

    Matumizi mabaya ya rasilimali

    Jana nilikuwa ninapita eneo la hapa Bahi Road wanapojenga sehemu ya wamachinga watakapokuwa wanafanyia biashara zao,uzio waliouweka Ni bati zinazojulikana za msauzi,kwa kweli nilisikitishwa,bati hizi Ni ghali kwa kuwekwa kana uzio na baadaye zije zitupwe Ni matumizi mabaya ya fedha,sijajua hizi...
  3. S

    Mtangazaji wa ITV leo sauti yake ina mikwaruzo sana?

    Nimekuwa nikimsikiliza mtangazaji huyu wa ITV Mwaipuge anayeripoti kutoka bungeni sauti yake si ile tuliyoizoea. Ina mkwaruzo Fulani unaoudhi hata kusikiliza, amekula kitu gani? Wahusika hebu lichunguzeni Jambo Hilo, ninaamini Mimi ninavyokereka, wapo na wengine
  4. S

    Kuweka notice yenye picha ya mheshimiwa hayati John Magufuli

    Hili la kuweka picha ya hayati kwenye noti zetu limekaaje kiuchumi? Maana utamaduni wa kuweka picha ya viongozi kwenye hela zetu lilikoma tangu Rais hayati Benjamin Mkapa alipoingia madarakani,Sasa ninaona Kama Watu wanataka kulileta Kiana,tulimheshimu baba wa taifa kwa kuweka picha yake kwenye...
Back
Top Bottom