Kuweka notice yenye picha ya mheshimiwa hayati John Magufuli

sanyaji

Senior Member
Oct 1, 2019
117
127
Hili la kuweka picha ya hayati kwenye noti zetu limekaaje kiuchumi? Maana utamaduni wa kuweka picha ya viongozi kwenye hela zetu lilikoma tangu Rais hayati Benjamin Mkapa alipoingia madarakani,Sasa ninaona Kama Watu wanataka kulileta Kiana,tulimheshimu baba wa taifa kwa kuweka picha yake kwenye noti ya elfu moja na picha ya marehemu karume kwenye sarafu ya Mia mbili,na imekaa vizuri, Sasa Hawa jamaa wanaotaka kumshawishi mama ninaona shaka
 
Kawaambie wafute na Magufuli city huko Dodoma, wavunjevunje na SGR ,hata ndege waziuze zote ili roho ya korosha uliyonayo ikukae vizuri
 
Binafsi naona haina haja maana Nyerere na Karume wanatutosha sana, tukisema awekwe basi tutawaweka wangapi? Cha zaidi fedha yetu itazidi kupoteza thamani itakuwa kama karatasi tu yeyote aliyepo madarakani atatamani sura yake ikae kwenye noti ni ushamba wanaoshabikia hili
 
Awekwe nani? Mtu aliyekandamiza uchumi wetu, kaua ajira, uwekezaji hakuna n.k
Kwa tafsiri halisi ya kiuchumi unachoongea siyo sahihi:
Percapita income iliongezeka, financing ya miradi ilikua. Hayo ndiyo maoni yangu
 
Kuna watu wanatokwa na povu sana sujui kwa nn mtoa mada hajauliza kwa ubaya tujenge hoja sio kutokwa na povu
 
Back
Top Bottom