Njia hizo zote ulizopewa zikishindikana jaribu
kuinstall Netqin mobile guard, kuna option ya ku stop program zinazo ji autostart na kuconect
internet kama whatsup na email clients!!
yap wakuu nimepata solution! Ile versio ya IDM nlokua natumia ilipata utata kidogo kwenye registry so nimejaribu kuweka idm latest version now inakula mzigo fresh
guys now nikitaka kudownload file kupitia idm napata error hii kwa browser zote
''Cannot transfer the download to IDM ERROR 0x80004002''
Nimehangaika google bila mafanikio, any1 with help please? Natumia win7 ultimate
mkuu win8 inasumbua sana kwa compatibility ya games nyingi! Jaribu hii kitu
Right click icon ya hiyo game unayo click kuplay den nenda properties kisha nenda compatibility, after that tick compatibility for window xp sp3 au sp3. Ikishindikana tafuta online crack ambayo iko fixed kua compatible...
toka wajanja 9t iwe terminated ni mwendo wa kuhaha huku na kule, kwa aliyetumia hii bundle naomba aniambie hii unlimited yao ikoje? Au inatoa MB ngapi, isije ikawa kama utapeli wa kabaaaang!!
guys nina 8GB imation flash!! Nilikua nahamisha file la 1.9GB from PC, at the middle of that ikaleta hiyo error, since that haingizi data wala kutoa, kila ukijaribu inaleta hiyo error, pia nikitaka ku format still inaniambia kua flash iko write protected so it can not be formated, nimehangaika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.