Search results

  1. kijanamdogo2019

    Jamani tusaidiane kushare na udownload hii app Maana ina mazuri mengi

    Fanya kubonyeza link,, then jisajili,,, you will thank me Later https://jamiiforums.com/1WI00vXTFZ
  2. kijanamdogo2019

    Ukatili wa wanawake

    Rafiki yangu kidogo ajiue. Kajitolea kamsomesha mchumba wake hadi kamaliza chuo Udom. Wakati wanapanga mipango ya ndoa demu akaaga anaenda kwao mbeya kusalimia kufika huko akafunga ndoa kimyakimya na jamaa mwingine. Kuna Wanawake ni makatili kama shetani. Omba Mungu yasikukute.
  3. kijanamdogo2019

    Msaada Jamani

    Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka. Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea hata Mara mbili kwa wiki na akija tunafanya mapenzi na saa zingine tunakaa pamoja hata siku tatu hivi...
Back
Top Bottom