Search results

  1. N

    Kuna Mbunge anapongeza watumia madawa ya kulevya!

    Sasa mzee mbona haueleweki?Tumia weledi au ndio kutoka Magazeti pendwa
  2. N

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Mhe Zitto kajitaja jina na ww jitaje basi maana hakuna mbunge anaitwa Mwongozowaspika,pili mimi nina wasiwasi utakuwa ni mwandishi wa Mtanzania au Jambo leo?Sasa kama alitoka nje na kuwaambia they think small kwa nini walikasirika?Kumbe hizo hela mnazitumia majimboni maana mnalalamika ya kuwa...
  3. N

    MOI hali tete kwa wagonjwa

    Manesi ndio wanafanya upasuaji au?Ebu ongeza fikra kidogo
  4. N

    Wana CCM 1,000, Wenyeviti wa Vitongoji Arumeru Wahamia Chadema

    Si usome Mwananchi ukurasa wa tano au mpaka kila kitu utafuniwe?Amka banaa
  5. N

    Katibu mkuu Wizara ya Afya aitwa Ikulu

    Vyombo gani vya habari vimesusia?Watu watakapopata madhara ya mgomo wataripoti its just a matter of time
  6. N

    Naomba Ufafanuzi: Nani mwanasheria mkuu wa Tanganyika?

    Mhe Jussa kasema hakuna mwanasheria wa Muungano sababu sheria si suala la Muungano wakuu au mwaonaje?
  7. N

    Naomba Ufafanuzi: Nani mwanasheria mkuu wa Tanganyika?

    Naomba kupata ufafanuzi kidogo wanaJF hivi ni kweli hakuna Mwanasheria mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?Na kama ndio mbona twaogopa kutaja Tanganyika?Ni kweli hatuna Serikali ya Tanganyika?Kama ni hivyo mbona Tundu Lissu alipingwa sana alipoleta hili suala bungeni?
  8. N

    Zitto Kabwe Anajenga Hoteli ya Kifahari! [Zitto kafafanua]

    Kama jina lako na uwezo wako wa kufikiri ndio ulipofikia
Back
Top Bottom