Search results

  1. Mng'atu

    Hekima inapoita: Mauaji ya Barlow yanahitaji kulaaniwa, kukataliwa na yanalia "haki"

    Kuna jambo moja la kuwekana sawa hapa. ‘Motive’ ya kuuawa Kamanda Barlow bado haijulikani kwa uhakika. Hoja ya MMM imejengeka kwenye assumption kwamba motive ya kifo chake ni chuki za raia dhidi ya polisi, au chuki za wahalifu dhidi ya polisi. Sijui MMM amejiridhisha vipi na kudhani hivyo –...
  2. Mng'atu

    Hekima inapoita: Mauaji ya Barlow yanahitaji kulaaniwa, kukataliwa na yanalia "haki"

    Kuna jambo moja la kuwekana sawa hapa. ‘Motive’ ya kuuawa Kamanda Barlow bado haijulikani kwa uhakika. Hoja ya MMM imejengeka kwenye assumption kwamba motive ya kifo chake ni chuki za raia dhidi ya polisi, au chuki za wahalifu dhidi ya polisi. Sijui MMM amejiridhisha vipi hadi kudhani hivyo –...
  3. Mng'atu

    Hekima inapoita: Mauaji ya Barlow yanahitaji kulaaniwa, kukataliwa na yanalia "haki"

    Kuna jambo moja la kuwekana sawa hapa. ‘Motive’ ya kuuawa Kamanda Barlow bado haijulikani kwa uhakika. Hoja ya MMM imejengeka kwenye assumption kwamba motive ya kifo chake ni chuki za raia dhidi ya polisi, au chuki za wahalifu dhidi ya polisi. Sijui MMM amejiridhisha vipi na kudhani hivyo –...
  4. Mng'atu

    Kipima joto ITV: Maandamano ya CHADEMA morogoro, je kulikuwa na haja ya polisi kutumia nguvu ile?

    Nikuelimishe kidogo. Majibu ya swali hilo siyo hayo mawili tu (NDIYO na HAPANA). Ni kweli - hayo ndiyo muhimu zaidi, lakini pia yapo majibu mengine kama: SIJUI, au mwingine anakujibu INATEGEMEA, n.k. Asilimia moja (1%) iliyobaki inawasilisha majibu kama hayo
  5. Mng'atu

    Kikwete kuonana na otomolo......mgomo wa madaktari

    Anaitwa "Omotola Jalade Ekeinde" - sio Otomolo
  6. Mng'atu

    Kikwete kuonana na otomolo......mgomo wa madaktari

    Anaitwa Omotola Jalade Ekeinde - sio Otomolo
  7. Mng'atu

    Maandamano makubwa kumpongeza Jakaya Kikwete!

    Yaani mtu akijinyea halafu akaamua kwenda kuoga unasema ni uamuzi mgumu? Ni lazima ukaoge tu -hata kama bafu iko nje!
  8. Mng'atu

    Upuuzi wa Masoud Kipanya

    Nadhani KP ametumia neno 'MGOMO' kwa maana pana zaidi ya mgomo wa madaktari unaoendelea (-na ndio maana ameliwekea neno hilo alama za '.......'). Nahisi alimaanisha mambo mengi - mgomo wa wabunge wa CCM kukutana na JK, migomo mingine inayonukia ya waalimu, n.k, pamoja na matatizo mengine mengi...
  9. Mng'atu

    Salaam kwa Mh. Edward Lowassa na wenzake

    Alichosema Lowasa juzi kule Monduli kilipewa uzito mkubwa sana na vyombo vya habari. Sina tatizo na hilo, ni sawa -lengo lilikuwa wananchi wafahamishwe Mheshimiwa ana kitu gani cha kuwaambia Watz baada ya yote yanayosemwa kuhusu yeye. What about this other side of the coin. Uchambuzi huu...
  10. Mng'atu

    Natafuta Used LCD Projector

    Natafuta used LCD Projector ambayo iko katika hali nzuri.
  11. Mng'atu

    watu wengine bwana......!!!

    Ukishaachana na maisha, mambo mengi ya kufanya ni yepi? kuachana na maisha ni kufa (kujiua?) The dead remain silent and can do nothing!
  12. Mng'atu

    Live mtaani kwetu

    Kw nini hawakufunga mlango?
Back
Top Bottom