Search results

  1. K

    Mapenzi yalifanya nivute bangi, baadae nikapata shombeshombe wa kiarabu

    Miaka ya nyuma nilikua nafanya kazi kampuni flani ambapo mimi nilikua na Nafasi ya uongozi.Nilikua na mahusiano na dada mmoja kiumri yeye alinizid almost 4 years yeye alikua kibarua cha ufagiaji na kukata nyasi eneo la office.Baadae niliamua kumtafutia nafasi nae akawa mwajiriwa nikamtafutia...
  2. K

    Soma kuna kitu cha kujifunza hapa.

    Miaka ya nyuma nilikua nafanya kazi kampuni flani ambapo mimi nilikua na Nafasi ya uongozi. Nilikua na mahusiano na dada mmoja kiumri yeye alinizid almost 4 years yeye alikua kibarua cha ufagiaji na kukata nyasi eneo la office .Baadae niliamua kumtafutia nafasi nae akawa mwajiriwa nikamtafutia...
  3. K

    Utani umenigharimu, nipo njia panda

    Juzi kati nimeamka zangu asubuhi na mapema kutoka zangu nje nikamkuta Demu nyumba ya jirani anafagia uwanja full mauasafi ikanibid nimpe hai japo sikuwa na mazoea nae kabisa. Nikamwambia"mambo' akanijibu poa nikamtania "best sijalala usiku mzima yaani nina ukame balaaa "akacheka akaniambia...
  4. K

    Naomba kujua mambo yakuzingatia kwenye biashara ya mtumba

    Binafsi ninaitaji kufanya biashara ya nguo za mtumba quality kabisa hasa za kina dada,mama na watoto nina mtaji wa Milion 2 ila Sina uzoefu wowote pia sijawahi kuifanya Naombeni muongozo wadau vip vya kuzingatia na njia gani za kupitia naimani kuna magwiji humu.
  5. K

    Haloo wakuu napata tabu kuingia humu naambia mpaka admin approve

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Back
Top Bottom