Search results

  1. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Subira ni ibada. Hongera sana mkuu ukawe Mtumishi mwema [emoji109] na karibu upande wa pili. Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  2. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naomba kujua pia mbingunikwetu
  3. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Alright,,,Asante kwa huu ufafanuzi mkuu!
  4. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu mbingunikwetu naomba unisaidie kunielewesha hapo kwenye posho za kujikimu,, hapo walipoandika sehem nyingine. Hizo sehem ni zipi?
  5. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nameyaona! Maswali yanajirudia sana tu sema yanaulizwa kwa namna tofauti tofauti tu,,, ni vile vitu basic vya Accounts
  6. G

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    WRITTEN INTERVIEW KORUWASA kwa upande wa Accounts Assistant please share maswali, watu wapate mwanga kwenye maandalizi ya saili zijazo.
  7. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    WRITTEN INTERVIEW KORUWASA kwa upande wa Accounts Assistant please share maswali, watu wapate mwanga kwenye maandalizi ya saili zijazo.
  8. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sema hizi mambo ni miyeyusho wakuu,,,unasubiri kupigiwa simu mpka unachoka yan!
  9. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Je kwa Halmashauri watu gani wana unafuu kdgo wa hizo posho!?
  10. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sa kwanini walimu wanalalamika sana maisha magumu kuliko hao MaHR, na wengineo walioko Halmashauri?
  11. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu najua kunae maumivu kwenye huu mchakato wa kusaka asali ila Kamwe usikate tamaa Mkuu, endelea kupambana na kumuomba Mungu wakati wako unakuja[emoji120]UTAFURAHI.
  12. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu mbona siku hizi kuna Baadhi ya picha siwezi kuziview humu kunae shida gani kwenye hii app?
  13. G

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kweli huyo ni wakuwasha vibao!
Back
Top Bottom