Search results

  1. W

    Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

    Muafaka lazima uwepo hata kama hatukubaliana. Inatagemea tu ni nani anayetekeleza sera kwa wakati huo. Ukizingua itajulikana na watu watapima.
  2. W

    Tanzania tunahitaji Jaji Mkuu mpya kutokana na yanayoendelea kwenye Mhimili wa Mahakama?

    Tulipo mkosa Jaji Benard Luanda nikajua mfumo wetu wa kuamini watu wa kusimamia haki kwa hakika ni sanaa tu. Toka kipindi cha Jakaya, huyu Jaji alikuwa anakwepwa kama ukoma. Ni vile hakuwa mtu wa kupindisha pindisha mambo. Ukipewa dhamana itendee vema hata kama watakubadirisha ndani ya siku...
  3. W

    Maamuzi ya Spika, muovu hawezi kuwa na ujasiri wa kumwadhibu muovu mwingine

    Kumbuka wale sio wabunge wa kupigiwa kura. Wabunge wa kuteuliwa wanaenda pale kwa mapendekezo ya chama. Sasa hawa chama kupitia vikao halali vimekataa kuwahi kupeleka majina. Hatua zaidi ikachukuliwa kuwavua uanachama. Utawala bora, bunge lingeandika barua kwa chama kupata uthibitisho. Lakin...
  4. W

    Dark days 17/03/20...

    Kwako wewe ni ngumu. Ila kea wenye mipango,hata ukikaa mwenyewe na ukatoka hadharani,kabla hujaongea jambo wanakuwa wameshakusoma.
  5. W

    Dark days 17/03/20...

    Ndiyo maana kuna uzi humu jamvini the old CEO aka vasco anatajwa kama ni suala la muda tu,maana ameshameza ndoano.
  6. W

    Vision ya mama ni simple and very clear (4Rs)

    Tutawapa TBC wawe wanaisoma hii kwenye tunatrkeleza. Umeiweka poa sana.
  7. W

    Nimeikumbuka TP Lindanda Pamba Football Club

    Kipindi hicho walikuwa wamoto kweli. Sema ndo wachezaji karibu wote walienda kariakoo na jangwani. Huko nako walikiwasha kinoma
  8. W

    Simba Queens yatwaa ubingwa mara 3 mfululizo

    Hawa watatwaa ubingwa kwa miaka 20 mfululizo.
  9. W

    CHADEMA ni kiboko, Rufaa inachukua miaka miwili kusikilizwa!

    Na wale waliomuandikia supika barua ya kustaafu?
  10. W

    Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    Rejea taarifa ya CAG bwana Kichele. Hili tukio halikufanyika kwa bahati mbaya.
  11. W

    FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kimsingi hadi leo ilibidi kuwe na tofauti ya point 1 kwa kuzingatia mechi 3 za mwisho.
  12. W

    CAG: Watu watatu wa MSD walitumia Tsh Milioni 215 kwenda China kujadiliana

    Wewe unadhani hakuna mashushu? Ama wewe bile huelewi
  13. W

    Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

    Kama tunakatiba inayompa rais afanye atakalo sasa mnalalamika nini. Kipindi cha mzee Magu ilikuwa hivi hivi anagawa hovyo hela. Anaamua analoona linafaa hata kama ni kinyume na sheria za nchi ama ustaarabu wetu. Tuache kulaumu mtu,tupambane tuwe na katiba ifaayo dhidi ya yeyote yule.
  14. W

    IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

    Kwa hiyo Mbowe ataanza kufidiwa zile kadhia zote kwa kodi ya wananchi wanyonge?
  15. W

    Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

    Unataka kuonesha nini? Hawa kwanza watakuwa wamezitia hasara hata baadhi ya benk kwa kuchukua mikopo na kushindwa kulipa. Wamefanya hata mradi uwe na ujanja ujanja mwingi huku ukiwapa kero wananchi.
  16. W

    Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

    Canavaro alikiri kuwa jamaa hafai kabisa kumkaba. Ni mateso sana kumkaba okwi
Back
Top Bottom