Search results

  1. Ummayed

    Asee jirani zetu tatizo hasa maisha magumu ama kurogana???!!!!!

    Ndugu zetu ,shemeji zetu na jiran zetu Wakenya ugonjwa wa uchizi umeshamiri huko kwen hv tatzo ni nn sasa mpk machiz wawa wengi hivii???!!!! Povu ruhusa
  2. Ummayed

    Dah wanandugu kinadada wana tabu sana eti kisa jf nimeachika aisee hi hatar.

    Asee kina dada wametisha.mtu anataka akuchunge kama vile ww ni mwanafunzi hasa hawa shombeshombe hatar. Huu usiku wa saa saba nilikua zangu jf nachangia mada mbalimbali.mara ghafla bin vuu bibie kaamka akanitext watsap.kaanza na complain."wewe hadi hii saa saba uko macho unachat na nani"bibie jf...
Back
Top Bottom