Search results

  1. A

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Haya ndio matokeo ya serikali dhaifu!kutoa pole na rambirambi wakati watanzania wenzetu wamepoteza maisha kizembe ni aibu kwa taifa hiyo inasababishwa na mikataba feki wakandarasi feki ndio matokeo yake
  2. A

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Jamani ghorofa ni 16 na pale pana makazi ya watu na chini ni biashara Mungu asaidie tu hizo familia ziwe hazikuwepo ndani
  3. A

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Jamani Juluana Shonza alishachanganyikiwa pale alipotoka CDM kwenda Ccm mwacheni huyu hana jipya
  4. A

    Hii ndo hali halisi, tusaidiane tu kushauriana jinsi ya kuikabili

    Jamani nyumba Hg anafachwa na baba mbona tunaziona sana tu ila matokeo yake................
  5. A

    Kitandani

    mmmmh bro erck wamjua?
  6. A

    Wabunge wa CHADEMA wailalamikia Operesheni Sangara

    Hizo kelele za chuia taja majina ya wabunge waliolalamika wewe tatizo lako ni kumtaja dr slaa na josephin umeridhika?nyie msitatue matatizo ya watanzania na kulinda mipaka ya nchi malawi kiboko amemkomesha rais wenu anamkimbiza mchakamchaka
  7. A

    Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

    nenda wewe ukapunguze kwanza ujinga ndipo urudi kujadili mada alokuambia kuwa hawana elimu nani hao kina lusinde mwigulu wenye vyeti vya matusi je?
  8. A

    BAVICHA Arusha wamtembelea Mjane wa Marehemu Msafiri Usa- River

    makamanda wa bavicha arusha nawapongeza hongereni sana msiogope maneno ya magamba kusema kwao kawaida
  9. A

    Swali kwa BAVICHA: Kati ya Joshua Nassari na John Shibuda kauli ipi inastahili karipio?

    wewe mi kwenye mkutano wa arusha nilikuwepo na nasari hakumaanisha unavyofikiri wewe kama ujui uliza tutakuelewesha pili cdm hatujachukizwa na shibuda kugombea urais tatizo lake kwani akatangaze kwenye nec ya ccm na pili kwani aseme meneja kampeni wake atakuwa kikwete?
  10. A

    Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

    shibuda cdm ataondoka tumemchoka hatumwitaji tena
  11. A

    Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

    haya ccm wakatae tena kuwa hawausiki na mauji ya msafiri jamani kweli ccm nimeamini kuwa ni wakatili na wauwaji ila Mungu yupo aliyeumba tanzania hatakubali umwagaji damu tena!
  12. A

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    Hongereni wabunge wa ccm kwa kuwaunga mkono CDM na kutambua kuwa mnatakiwa kuwatetea wananchi waliowachagua na siyo kutetea maslahi ya chama
  13. A

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    sikieni lema ni kweli kapigwa chini ila chadema tutawagaragaza ccm kuliko wanavyofikiri watapata aibu kubwa kuliko waliyopata arumeru mashariki wasubiri uchaguzi utangazwe lema achukue fomu chadema tuwagaragaze
  14. A

    CCM yaanza kufanya uharamia na vurugu Arumeru

    Sasa ccm wanapita wakijitanza chama cha amani wakati wao ndo wanaanzisha vurugu jamani hawa ccm wangekuwa wamewatimizia wananhi wao mambo waliyowahahidi leo wasinge kuwa na wakati mgumu wa kufanya kampeni mbaya zaidi wananchi wa Arumeru mashariki wana shida ya maji mfano maeneo ya maroroni...
  15. A

    Siyoi asema atawaombea ajira watu wa Arumeru kwenye chuo cha Nelson Mandela

    Hii ni kali lakini kwa sababu huku tz ni rahisi kuwadanganya na wakadanganyika alichosema siyoi ni sawa
  16. A

    Nimelazwa Kcmc

    Ugua pole mkwea Mungu atakujali upone mapema
  17. A

    Nassari arudisha fomu kwa kishindo, Arumeru

    kamanda pambana tupo pamoj Ni hivi nasari NIBORA VITA INAFUATAAMANI,KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA
  18. A

    Polisi Kumi Kila Kata Arumeru Mashariki

    nawashangaa sana leo kuweka polisi kila kata wakati meru imeoza vijana wana kunywa pombe haramu na polisi hao hao ndio wanapokea rushwa na juzi kati kauwawa polisi mwenzao meru
  19. A

    viroba at work

    Huku Nyeri na Kisumu kuna vibuyu na mirija na hii ni kali kuliko kiroba, huyo jamaa angalia kwenye vitambulisho vyake atakuwa ametorokea tz maana huku wamama hawana mchezo amekimbia mapanga na maji ya moto
  20. A

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Joshua nassari anaweza kwanza walichachukua kura zake siungi mkono hoja ya silaa kugombea jimbo la meru labda amsaidie kampeni tu Nassari anaweza hana tofauti na mnyika huyu ni kamanda
Back
Top Bottom