Search results

  1. H

    “spana” muhimu katika uhandisi tovuti

    udom wanafundisha software engineering
  2. H

    Naomba msaada wa AUDIO DRIVER ya COMPAQ ambayo iko supported na Windows 7!

    Fungua website ya hp, utapata iyo driver unayhitaji mradi uwe unajua model ya computer yako
  3. H

    Natafuta kazi jamani

    Inawezekana alisoma diploma kisha akafanya kazi, baadae akasoma tena bachelor
  4. H

    how do i use WLAN on my phone

    Inabidi ukonnect hiyo wireless network thn ur ready to go....
  5. H

    Airtel waja na MF180 ZTE Modem

    Ngoja namimi niitafute iyo
  6. H

    MSAADA JAMANI(Software for Technical Drawing)

    Mkuu nadhani autocad inaweza ikakusaidia..... kama upo dar unaweza ukawasiliana na mimi ili nikupe na video tutorial za namna ya kutumia
  7. H

    quick way to save a webpage for offline viewing (i.e. to read the webpage later)

    Mkuu iyo njia unayoifaham ni yakusave webpage moja.... lakini ya kwake ni yakusave website nzima af unabrowse ata ukiwa offline... kuna software inatumika kufanya iyo kazi
  8. H

    Nijuze kuhusu software

    kama unatumia mozilla firefox jaribu kuadd add-ons, nenda kwenye tools,thn add-ons halafu search for dwhelper,youtube downloader, au tumia generic keyword video downloader.... Ila kwa ushauri wangu kwanini usitumie hiyo hiyo internet dowload manager (idm) ni nzuri sana coz inadowload kila aina...
  9. H

    Web hosting

    nenda kwenye website ya ucc http://www.ucc.ac.tz utapata na gharama zao
  10. H

    Free airtel internet kwenye pc na kwenye simu

    Inabidi kabla ya kupost kitu uwe umeshakijaribu mwenyewe kama kinafanya kazi....
  11. H

    Free airtel internet kwenye pc na kwenye simu

    Spidi ya gpsr ni ndogo sana ukiwa unatumia computer
  12. H

    Zantel freeee internet access at 0 shs

    Bado inafanya kazi au washaishtukia???
  13. H

    msaada mwenzenu bundles zinaisha haraka..

    Jaribu kuinstall AVG internet security yenyewe itakua inakuletea meseji appliation yoyote inapotaka kuaccssess internet kisha wewe utaua unablock.....
Back
Top Bottom