Search results

  1. R

    Uzinduzi wa tawi la CHADEMA kijiji cha Misri-Geita

    Duh,mbona wa ccm wanawaka na wa chadema kama wamechoka na maisha?
  2. R

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Hahahahhahaha,nimeipenda sana hiyo!!
  3. R

    Mhe. Kikwete chanzo cha migogoro isiyoisha CCM

    Viva umenena mkubwa!!
  4. R

    Mazingaombwe ya Polisi na Uhamiaji: Mke wa Askofu Mkomba amlilia Kikwete

    La msingi watueleze amefanya kosa gani??,maana kama ni uhamiaji haramu ishu ilikuwa ni wahusika kumshtaki then mambo mengine yatafuata!!
  5. R

    Gari za FFU zimemwagwa Ubungo hadi Kimara

    Mbona Mbowe kashatangaza kusitisha maandamano nchi nzima??,au hawa ndo CCm B??
  6. R

    Matokeo ya Lema kwenda jela yaanza kuonekana

    Kwa nini wewe usivuruge nna ukatae dhamana na ukifungwa ugome kula????,Hahahahhahha,Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu .....
  7. R

    Watanzania mnamuogopa sana Lowassa kuliko JK, wabunge mashahidi...

    Lowasa ni mashine bwana mpaka sasa watz tuanachanganyikiwa!!
  8. R

    CCM sasa wamtumia Warioba kuimaliza CHADEMA?

    Mkubwa umenena tatizo hatutaki kuambiwa ukweli waungwana!!
  9. R

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    JF nayo sijui imekuwaje??,Daktari ansema sio sumu ninyi mwasema kalishwa sumu.Naomba madakatri wa kutibu watusaidie kwamba sumu ya kutegewa inaua mara moja tu au inaweza kukaa mwilini kwa muda gani??,coz najua sumu za vyakula vya kemikali ndo zinakaa mwilini kwa muda mrefu lakini y akulishwa ni...
  10. R

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Sijaelewa vizuri wakubwa Lakini nachojua jamaa huyu ni mchapakazi bwana!!
  11. R

    Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

    Tuache Ushabiki wa vyama wanaJF,Mie nampenda Dk lakini kwa hili kakosea wadau.Kama alikuwa hataki kwa sababu za Mbwembwe za TBC1 basi angewambia siji lakini kama alikiri kuwa atakuja na akapotea then its a bad sign. Wote tunajua wanambania Lakini asifanye usera kuahidi atakuja halafu asiende...
  12. R

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Duh,siamini sana katika hili lakini nadhan tusbiri kidogo tutajua tu!!,But thanks kwa kutuhabarisha!!
Back
Top Bottom